Kachumbari la ukweli, nyepesi kuandaa

Smile

JF-Expert Member
Jul 18, 2011
15,347
11,610
aina ya kwanza
mahitaji,
KITUNGUU MAJI, SWAUMU, NYANYA ,KAROTI, NDIMU, HOHO, MAYONAIZI
UTAYARISHAJI
1.saga nyanya kwenye kikwangulio karori(greta wanaitaga)
2.saga na karoti pia,
3.kata kitunguu maji ,kata vidogodogo sana kisha tia maji yamoto, funika pembeni
... 4.kata hoho viduchu duchu mno
5. kata vipunje vichache tu vya vitunguu swaumu
changanya vyote kwa pamoja, vile vitunguu maji vioshe na hayo maji ya moto, kisha na maji ya baridi changanya kwenye mchanganyiko, weka ndimu au vinegar na mayonaizi na chumvi..................
loh ni tamu hasa ukila na kitu kikavu km chipsi, mishikaki, kuku wa kukuanga au wa kuchoma, yan unafanya km sosi ya kuchovyea

nitaendelea aina nyingine badae ..jaribu kwanza iyo simple
ushauri ni vema kuwa na mayonaiz na vinegar jikoni kwako..ni bei rahisi tu supermarket
naprefer product za hawa jamaa wa american garden
 
Back
Top Bottom