Kabwe, Kafulila, Kitila, Ben ni Mtandao wa sasa kama wa EL, JK, AC, RA 1995-2005??

Status
Not open for further replies.
jamani jamani! tanzania ni nchi maskini, tunakabiliwa na changamoto nyingi mno, kuna wengine saahizi wanakufa kwa njaa, naombeni sana tutubu madhambi yetu tuunganishe nguvu yetu tujenge taifa letu, tusimpe adui nafasi yakuzidi kututawala, naombeni sana huu mjadala ufe, unazidi kunikatisha tamaa mimi na nchi yangu.
 
Angalau simwoni mwenye sifa ya kuwa Rais wetu kwenye kundi hili. Hawana wanalolisimamia, hawana jipya, wengine wana DINI zao, wengine wana KABILA zao, wengine wana makundi yao, wengine wanajitukuza sana, wengine waumaji na wapulizaji wazuri tu.
 
Mbinafsi mwenye kiu ya kudhulumu na kutawala kimtandao kila kitendo, kauli na maisha yake yanalenga kuchochea na kuboresha migongano ndani ya chama/jamii na uvunaji wa hisia hasi toka kwa vipofu, wajinga wanaomtetemekea. Manipulating n Wining through intimidation is common practice among all corrupters. Siasa za Mtandao hazina nafasi ndani Cdm labda waende NCCR au CCM.
 
Kwa taarifa tulizo nazo hili kundi linafanya kila jitihada kuhakikisha mwenyekiti wa vijana yupo upande wao,kwanza wamehakikisha wanampa madesa makamu mwenyekiti Juliana Shonza ili Heche mkurya aone aibu kufunikwa akimbilie mtandao wao kwa usalama

miss parliament! chonde chonde, Mungu akupe staha chama chetu kisizidi kupasuka, inatosha dadangu! looh! hadi naogopa. humu ndani kuna maadui wenghi wa harakati, naomba wasipate hiyo nafasi ya kuzidi kuharibu, inatisha. nakuomba dada, ishia hapo tu kwa leo kwakweli.
 
Angalau simwoni mwenye sifa ya kuwa Rais wetu kwenye kundi hili. Hawana wanalolisimamia, hawana jipya, wengine wana DINI zao, wengine wana KABILA zao, wengine wana makundi yao, wengine wanajitukuza sana, wengine waumaji na wapulizaji wazuri tu.

looh! mkuu sisi wengine wenye imani haba na siasa tunakatishwa tamaa.
 
I am officially watching this game,so far whether you destruct chadema
or you build it,what i care for is Heavenly destiny,.....politics politics politics duh
 
miss parliament! chonde chonde, Mungu akupe staha chama chetu kisizidi kupasuka, inatosha dadangu! looh! hadi naogopa. humu ndani kuna maadui wenghi wa harakati, naomba wasipate hiyo nafasi ya kuzidi kuharibu, inatisha. nakuomba dada, ishia hapo tu kwa leo kwakweli.
Acha Aseme chama hakijengwi kwa kuficha madhambi ya watu wake bali kinajengwa kwa kusimamia ukweli. CCM leo wanashindwa kuvuana magamba kwa sababu ya kufichiana mabaya yao. Endelea dada toa yote hapa jamvini
 
miss parliement siku unajinga na jf ulisema hivi

Wakuu wa JF,

Nimekua msomaji hapa mda mrefu na hasa kwenye siasa ila nimeamua kuingia rasmi kwa kuvutiwa na hoja kadhaa.Hata hivyo sitawaeleza chama changu ni kipi ili niwe na mawazo huru.Hili jukwaa la mapenzi/uhusiano na Urafiki huwa nalihusudu sana.Tuwe pamoja jamani

katika kuchangi thread yako hiyo na amabyo ilikuwa ya kwanza nilikwambia kuwa time will tell si mda mrefu utajulikana tena mapema sana.....kwa kuwa wengine humu kazi yetu kubwani kufatilia mabandiko ya watu nimefanikiwa kukujua vizuri sana.......location... na kazi...

ngoja nikwambi kitu kimoja ACHA KUTUMIKA VIBAYA mdogo wangu....

niliwahi kumwambia nape juu ya siku zao 90 na kuwa yeye kama yeye haweza fanya lolote na nikampa ushahid ulijaa kwa pm..hakusikia leo ni siku ya 92 na hakuna jipya ......leo nakwambia wewe ACHA KUTUMIKA VIBAYA....
 
Duh.....hizi juhudi zote hizi zinaweza kuijenga Roma kwa siku moja!

WanaJF,

Kuweni makini sana hao watu wanaoleta mada zaina hii.Hawa si wanaCHADEMA wa kweli,hawa ni CCM au maadui zetu katika safari yetu ya ukombozi kupitia demokrasia ya vyama vingi.

Kwa wafuasi wa CHADEMA mlioko huku,

Tafadhali zipuuzeni hizi taarifa kwani zimesukumwa na hisia tu.Lengo ni kuwagombanisha watu ndani ya chama.Hawa sio watu wetu katika safari tuliyo nayo ya mabadiliko na kujenga upinzani imara Tanzania.Yote yaliyoandikwa hapo yalishajibiwa na kutolewa ufafanuzi.

This is a very serious and malicious defamation of the
character.Hebu tufikirie mbali kidogo,huyu mtu kama ana nia njema na CHADEMA ni kwa nini anaweka haya hapa?kwa faida ya nani hasa?Ni dhamira ipi inayomsukuma? Je ni uzalendo wa kweli kwa chama chake na nchi yake au nimatakwa binafsi au malengo binafsi yanayouwa nguvu au kupunguza nguvu ya chadema kwa kukatishana tamaa kwa dhamira binafsi na kwa malengo mahususi?

Halafu ndio mnataka Wanananchi wapenda amani waichague CDM nyie wenyewe kwa wenyewe vita kila kukicha kwa uchu wenu wa madaraka
 
Waswahili wasema mficha kidonda mahuti yatamuumbua,sasa mi naonani bora vidonda vyote viwekwe hadharani ili vitibiwe.Kama vipo vinavyoweza kusababisha saratani vifanyiwe upasuaji wa mapema.Tunataka chama imara,kutafuta umaarufu kwa kuchafua wengine haitatufikisha kwenye mwelekeo wetu.
 
duh.....hizi juhudi zote hizi zinaweza kuijenga roma kwa siku moja!

wanajf,

kuweni makini sana hao watu wanaoleta mada zaina hii.hawa si wanachadema wa kweli,hawa ni ccm au maadui zetu katika safari yetu ya ukombozi kupitia demokrasia ya vyama vingi.

Kwa wafuasi wa chadema mlioko huku,

tafadhali zipuuzeni hizi taarifa kwani zimesukumwa na hisia tu.lengo ni kuwagombanisha watu ndani ya chama.hawa sio watu wetu katika safari tuliyo nayo ya mabadiliko na kujenga upinzani imara tanzania.yote yaliyoandikwa hapo yalishajibiwa na kutolewa ufafanuzi.

This is a very serious and malicious defamation of the
character.hebu tufikirie mbali kidogo,huyu mtu kama ana nia njema na chadema ni kwa nini anaweka haya hapa?kwa faida ya nani hasa?ni dhamira ipi inayomsukuma? Je ni uzalendo wa kweli kwa chama chake na nchi yake au nimatakwa binafsi au malengo binafsi yanayouwa nguvu au kupunguza nguvu ya chadema kwa kukatishana tamaa kwa dhamira binafsi na kwa malengo mahususi?

mkuu mimi sikatai hata km ni mwa cdm, tatizo ni hizi issue kumwaga kwenye jamvi ambamo kuku wamo, nguruwe wamo, bata wamo, kondoo wamo, mbuzi wamo, yaani! Dah! Sielewi nchi hii tunaelekea wapi, sioni hata siku moja threads za kujenga, kila siku ni thread za kubomoana tu.
 
Ben

Kuweka claims zake juu yako katika mitandao ya kijamii unaona ni upotoshaji kwa kuwa hayastahili hapa, vipi khs ZITTO alivyoweka claims zake FB juu ya m/kiti wa chama au naye hana uzalendo wa kweli ktk harakati za ukombozi wa watz kupitia Cdm au unanithibitishia naye katumwa.??!
 
quote_icon.png
By Chief Mkwawa
Ila mheshimiwa Ben,zitto, hata mimi nimeanza kuwa na mashaka makubwa na kambi yenu. Nahisi ubaya upo na unakuja haraka. Hamuwezi kujenga nguvu ndani ya vyama viwili NCCR mageuzi na CDM. nahisi harufu mbaya sana. Huwa siandiki bila utafiti hasa pale zinapokuwa tuhuma kubwa kama hii.

CDM lazima kiwe makini sana sasa hasa baada ya madhara anayofanya Shibuda. Tunahitaji watu wanopenda maendeleo ya CDM sio uongozi tu. Lazima kukuza taasisi kwanza. Kwani Mbowe kawakoseeni nini?? Haiwezekani kumchukia wakati maamuzi mengi yanafikiwa kwenye vikao. Kwa nini kila kitu ninyi kosa ni Mbowe?

kuna mahali ben alijibu hivi sijui hili mnalionaje

Duh....Hivi kuna mahali popote umeona nimemtaja mbowe?muulize huyo aliyekuambia hayo maneno...ni mara ngapi nimeshasema sina kambi na sijui kambi yoyote?Jamani hii ni social network,hili ni jukwaa ambalo watu wanachambua mada.Tatizo watu wanapenda kuona mtu ukishabikia na sio kutoa mawazo yako jinsi unavyotaka iwe.Wengine hatuamini katika kujilisha upepo,sasa sijui hilo suala la NCCR umelitoa wapi maanake umeandika na kugonga mhuri kabisa.

Halafu unaandika na kuuliza kwa nini tunamchukia mbowe,kwanza mimi na nani?Mimi ni binadamu niliyeumbwa,sina haki ya kumchukia binadamu yeyote.hata wewe ukinipinga sitakuchukia,ni mara ngapi watu wameandika maneno ambayo yanaweza kuchukiza lakini kabla ya kujibu natoa thanks?hata wewe pamoja na kuandika maneno kama haya maliciously still nimekupa thanks?Shetani na ubaya wake wote simchukii,nachukia tabia na matendo yake ya dhambi sembuse nikuchukie wewe?mimi nitakuwa na haki gani?Naomba tu niepuse malumbano,my position is very clear.

You cannot succeed in life if you are not disciplined,you cant be hope,you cant be a play in revolutin fraternity. You must be puritanical in your predisposition, you must engage in an exercise of self purification and mortification, you must engage in an exercise of self abnegation, you must engage in an exercise of spiritual emulation. You must discipline the flesh. You must conquer the flesh. You must allow the spiritual aspect of you preponderate the material aspect, especially when you are hell bent to ensure Freedom,equality and fraternity preavails.Kioo ninachokitazama mbele,naona revolutionary change.so it is our responsibility to clear the mess on our way,tukifute hicho kioo,let us clear the way kukielekea hicho kioo.The time is up

Nafanya kila jitihada kukisaidia chama changu,sina mtandao wowote.Mtandao nilio nao ni mtandao wa haki,usawa,dhamira safi yenye kuleta tumaini jipya kwa watanzania kupitia kizazi hiki na kijacho.kuna mdau hapo juu kaandika sana nitamjibu kesho,na pengine kapotosha/potoshwa kwa makusudi au kwa bahati mbaya.
 
Duh.....hizi juhudi zote hizi zinaweza kuijenga Roma kwa siku moja!

WanaJF,

Kuweni makini sana hao watu wanaoleta mada zaina hii.Hawa si wanaCHADEMA wa kweli,hawa ni CCM au maadui zetu katika safari yetu ya ukombozi kupitia demokrasia ya vyama vingi.

Kwa wafuasi wa CHADEMA mlioko huku,

Tafadhali zipuuzeni hizi taarifa kwani zimesukumwa na hisia tu.Lengo ni kuwagombanisha watu ndani ya chama.Hawa sio watu wetu katika safari tuliyo nayo ya mabadiliko na kujenga upinzani imara Tanzania.Yote yaliyoandikwa hapo yalishajibiwa na kutolewa ufafanuzi.

This is a very serious and malicious defamation of the
character.Hebu tufikirie mbali kidogo,huyu mtu kama ana nia njema na CHADEMA ni kwa nini anaweka haya hapa?kwa faida ya nani hasa?Ni dhamira ipi inayomsukuma? Je ni uzalendo wa kweli kwa chama chake na nchi yake au nimatakwa binafsi au malengo binafsi yanayouwa nguvu au kupunguza nguvu ya chadema kwa kukatishana tamaa kwa dhamira binafsi na kwa malengo mahususi?

Ben,
Mimi nakubaliana na wewe.Tujue kwamba sisi ni mti wenye matunda na ndio maana tunarushiwa mawe.Kama ni vita basi adui ameshatujua na hivyo ana uhakika wa ushindi kwa asilimia 50%.Tujipange tuje na mbinu mbadala kwani kwa dalili hizi tuwe tayari kwa mengine makubwa kuliko haya.
Swali la kujiuliza sisi wenyewe ni Je tumejipangaje?
 
Ben,

ilishasemekana wewe ni bingwa wa propaganda.acha spinning hapa.Sipati picha ungeingia kamati kuu,si ungewavuraga wajumbe kwa hoja zako taat ili kuimarisha mtandao wenu.ni siuala la muda tu mlishamtanguliza kafulila huko awaandalie makao.Ubunge kupitia chadema ng'o.naskia unafanya jitihada za kuanzisha fundraising kwa vijana wa mtandao wenu waingie majimboni sasa sijui ni kwa nini usingeipeleka hiyo programa kupitia BAVICHA

Zitto nae,jana alionyesha waziwazi kwamba anawadharau wabunge wa viti maalumu.nitapeleka hoja kamati kuu hili suala lijadiliwe
.
 
kwani merytina aliyeambiwa amepewa ubunge viti maalumu umemsikia analalamika?....na wewe je ulipewa au hukupewa?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom