Kabuye (mbunge pekee wa TLP) Kafariki

Aliwahi kuwaambia wabunge kuwa watu safi Bungeni ni yeye tu na Shein ,wengine wote walitoa rushwa! hakuna aliyembishia hadi leo
Mkuu sijui mafisadi na waumiza wananchi wanajisikiaje maana ukiona coments za watu hapa wanamkubali sana huyu masikini na inaonekana kaacha legacy ya kutosha.... sasa je hawa magamba wezi wa mali za watu wanafikili wataishi milele? Je wakifa na mtu akakumbushia kifo chao after 5 yrs kweli watapata haya macompliment, say sita, chenge, muhongo, maswi, werema, Asumpta Mshana, Nchambi wa kishapu etc? ....duniani tunapita watendeeni watz haki ndugu zangu....
 
masikini mzee wa watu lbd magamba waliona hawawez kushnda kesi ya ubunge wakaamua wamrestishe baba wa watu.
 
Namkumbuka sana,alifanya kampeni kwa baiskeli na alishinda..
_pia nakumbuka alikufa katika ajali ya bus akielekea mjengoni..
_kwa heshima tuwekeeni picha yake....
r.i.p
 
R.I.P Kabuye Mzee aliyekuwa Mwiba Kwa Style yake ya Uwasilishaji wa Uwazi.....yani ingekuwa leo ni Mbunge Kesi Wa Nkasi...Rukwa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom