Kaburu wa kampuni ya uranium katika kashfa nzito ya ubakaji.

Mwanakili90

JF-Expert Member
Nov 24, 2010
1,568
245
Abaka visichana visichana vidogo wilayani namtumbo. DC akiri kwamba wageni hao ni hatari. Wanakijiji wapoteza imani na vyombo vya dola Serikali imesema haina taarifa za Mzungu huyo Binti muathirika wa mchezo huo unaofanywa na Mzungu asimulia jinsi mzungu anavofanikisha unyama wake. Source. Raia mwema.
 
kwa hiyo unatuambia ili sisi tufanyaje serekali yako ya MAGAMBA ndo imempa jeuri tukiandamana lazima watatupiga risasi kama nyamongo.Tuletee habari za maana hivyo visa havitusaidii lolote zaidi ya kutuzidishia machungu.
 
Najitaidi kuonesha mapungufu ya uwajibikaji wa serikali iyopo madarakani.sasa sijui unataka nifanye nini ndugu yangu.
 
Hivi hiyo Urenium mbona serikali haitangazi kwamba tayari inachimbwa?? Serikali ya Kikwete haiwezi kumwambia chochote mwekezaji... Hata KIKWETE mwenyewe hathubutu... jiulize hiyo nguvu hao wawekezaji wanotoa wapi..... sijawahi ona serikali inakumbatia wageni kuliko raia wake....
 
Hiyo ni picha tu,tusubiri filamu kamili hapo uzalishaji utakapoanza tutakuwa kama Haiti natamani kuhama nchi hii lakini sina pa kwenda
 
Hiyo ni picha tu,tusubiri filamu kamili hapo uzalishaji utakapoanza tutakuwa kama Haiti natamani kuhama nchi hii lakini sina pa kwenda
nanoa jambia tayaritayari,gobole la mdingi lipo standby sihami wala nini,ikibidi tunageuka mugabe ghriiiii wakabake makwao huku
 
Si mkulu alisema "KIHEREHERE" chao kinawaponza!. Sijui vibinti vyetu tuvifiche wapi.
 
JK alishasema ni viherehere vyao. Wasitegemee msaada toka kwa serikali yake.
 
Back
Top Bottom