.jamaa wa chuma chakavu wajaliona hilo kaburi.
ni maelekezo tu kwa wale wanaotaka kuliona!kwani wewe ulitaka iweje?Kwahiyo kama lipo karibu n akwa sumari iwe je?
jamaa wa chuma chakavu wajaliona hilo kaburi.
sijaliona aisee! liko pande zipi kaburi hilo nikafanye vitu vyangu?
mkuu nasikia iliwahi kufanyika ibada maalumu ya usuluhishiHapo ni meta chache kutoka nyumbani kwa J. S. Sumary (R.I.P). Walizikwa wamissionary wakwanza kufika Meru baada ya kuuwawa kikatili na wao kufungwa minyororo hadi makaburi nayo yakapigwa minyororo. Kuna wanaoamini kuwa vita visivyoisha baina ya jamii ya kimeru vinatokana na laana baada ya kuwaua kikatili wamissionary hao.