Kaburi la mwaka...

Mkare

JF-Expert Member
Dec 21, 2010
504
78
pic 3.jpg pic 2.jpg pic 1.jpg

Wanajamii, kwa wale ambao wenzangu na mie ambao tulikuwa bado hatujaona aina hii ya kaburi. Naona binadamu tunapoelekea sipo. You can imagine kaburi lina hadi flat screen na DVD Player... ha ha ha...!
 
Da, na hivyo vipodozi sijui dressing table... watu wana visa kudadadeki...
 
Huu ni ujuha na upuuzi tu kama upuuzi mwingine unaofanyika hapa dunian...........
 
haya mambo wajaribu kuyafanya bongo waone kesho yake kama hawakukuta pamechimbika na vitu hamna, bila kusahau kubeba viungo vya marehemu, lol!
 
Back
Top Bottom