Kablog ka Ikulu

TIQO

JF-Expert Member
Jan 8, 2011
13,787
2,078
IKULU BLOG | Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais Hako ndo kablog ka Ikulu mbona kapo kwenye lugha ya mkoloni? Hivi wapiga kura walio mwingiza JK hapo white house wote wanajua kweli lugha ya malkia? Au haka kablog ni special kwa ajiri ya mabolozi na makupe yanayo nyonya mali zetu nchini kama madini, twiga n.k?
 
Back
Top Bottom