Kabla ya mitandao

How are symbolizing your mabozity. I am physically, biological and chemically fit. Sili sinywi silali nkikumbuka wewe. Peace and love. Make love and not war. Nilipoanza form one nilipata barua yenye ujumbe huu.
 
Mi nilimwandikia msichana mmoja tukiwa std VII primary school. Kabla sijamtuma dogo kuipeleka jamaa wakaniibia tukiwa darasani, lakini habari zilivuma na kumfikia yule msichana. Alipoona simplekei nyingine, akajileta mwenyewe nikaonaona aibu lakini mwishowe nikabeba mzigo.
 
safi sana hiyo na ilikuwa true love sio ya siku hizi facebook mnaambiana mnapendana bila hata kujuana wala kuonana sura

Hapo penye redi, na mkikutana hakuna mjadala , mnapigana mipini kama vile mlikutana miaka sita iliyopita. heri sisi wa zamani.
 
ha ha ha ha, inafurahisha saaaana, those old days!

Imenikumbusha mbali, nilishawahi kuandika barua kwa totos, baada ya kutopatikana wa kumpelekea,
Mimi mwenyewe nilivizia jioni totos akielekea kisimani na kumkabidhi mwenyewe, ha ha ha ha; kumbe
sikujua ilikuwa wakati mwafaka wa kumwaga sera!!!!! Utoto!
 
Back
Top Bottom