Kabla ya kuanzisha nyumba ndogo jiulize haya...

Ha ha ha! Mkuu, wewe mwenyewe ulikuwa unalabua nje ya ndoa yako . . . kwanini na yeye asilabuliwe pia? "Anayetaka kula sharti aliwe"

Mimi binafsi bado sijaoa lakini nikifanya hivyo siwezi kutafuta nyumba ndogo/cheat cos:

1. Nitaumia sana pale nitakapogundua analabuliwa huko nje (ambayo ni 100% ina uwezekano w kutokea)
2. Nitaumia pia ntakapojua na wife naye analabuliwa/nyumba ndogo nje so "why do something to someone ambacho ww hutaki kufanyiwa"
3. Sitakuwa na muda wa ku-entertain nyumba zote mbili, ukijumlisha na watoto juu

My take: Katika maisha yangu hata niwe na girlfriend siwezi kum-cheat, sembuse mke kabisa? Kwenye ndoa ukishaona yanakushinda ni bora "uachie ngazi" kuliko kuanza kutafuta nyumba ndogo cos sio solution (Naaminii hivyo na dnio msimamo wangu)
kaka hongera sana, mi nakuombea kwa Mungu Inshaallah akujaalie rehma hiyo maana ni wachache sana walio na mtizamo kama wako. HONGERA SANA NDUGU, KILA LA KHERI.
 
kwa kifupi nyumba ndogo ni balaa kwa familia yako kwa ujumla. ukioa elewa umeshaingaia kwenye kula visivyo liwa e.g. mavi, etc. pili maisha yako yanakuwa hatarini sana muda wowote unaweza uwawa, na huwezi ukakaa unafura maana kila siku ni mtu wa kutatua matatizo ya kila pande
 
kaka hongera sana, mi nakuombea kwa Mungu Inshaallah akujaalie rehma hiyo maana ni wachache sana walio na mtizamo kama wako. HONGERA SANA NDUGU, KILA LA KHERI.

Inshallah Mungu atanibariki kaka!
 
mi naona huyu bwana hayajawahi kumkuta ya kumkuta...muacheni kama alivyo....pia nahisi hajawahi kupenda na kuwa na mapenzi ya dhati...pole sana ndugu!
kwa taarifa yako, ktk ndoa au mapenzi kama wewe huruki fensi mwenzako anaruka SANA, kaka yako anagongewa kila leo na hata huyo demu wako nae watu wana mgonga kama kawa, pia kidume ku-cheat ni ishara kwamba yeye ni head ktk familia, kama angekuwa tail angepata wapi uwezo wa ku-cheat? Labda wewe na kaka yako ni ma-TAILS.
 
aiseee semeni yote lakini nyumba ndogo nyingine ni tamu mmmh acha tu... :lock1::lock1::lock1:
 
aaaaaaagggggghhhhhh!!!!!!!! jaman asa niwe nyumba ndogo tena nianze kukuonea huruma sijui wakati wa shida kwani hiko kiapo ameapa mkeo ama mimi jaman mbona majukumu tena nyumba ndogo zina shida jaman mmmhhh
 
Back
Top Bottom