Kabila la Kiiraqw laweza kupotea kabisa Tanzania

Nimekuwa nikitembelea pande za huko mara kwa mara...nimeshindwa kutafuutisha kati ya

a. Wambulu vs. Wairaqw

b. Wafyomi vs. Wagorowa

c. Wambugwe vs. Wambulu

d. Waasi vs. Waalawa

Hata hivyo wanafanana sana na waarabu, wa ethiopia (eritria), wasomali..etc..

Kama unataka kuoa wazuri (sura) tembelea pande hizo

Wengine wana maumbo ya kukata na shoka pia yale yanayopendwa na wanaume wengi wa Kitanzania/Kiafrica.
 
Wengine wana maumbo ya kukata na shoka pia yale yanayopendwa na wanaume wengi wa Kitanzania/Kiafrica.

haya mkuu Captain .. Nisome katikati ya mistari ?? hahahahahah lol:)
za tangu jana ??
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Nimekuwa nikitembelea pande za huko mara kwa mara...nimeshindwa kutafuutisha kati ya

a. Wambulu vs. Wairaqw

b. Wafyomi vs. Wagorowa

c. Wambugwe vs. Wambulu

d. Waasi vs. Waalawa

Hata hivyo wanafanana sana na waarabu, wa ethiopia (eritria), wasomali..etc..

Kama unataka kuoa wazuri (sura) tembelea pande hizo

Mkuu tropical,hao wote uliwataja ni jamii moja,wametokea sehemu moja,but tofauti inatokana na geographical dialect!ukitrace historia,they have all the same origin,as far as ni wakulima tokea watokako walifika mpaka iringa,na after that kwa sababu ya vita,walirudi kaskazini maana mwanzon walikuwa wanafuata bonde la ufa!Tofauti ilianzia pale ambo wengine walipitia magharibi wengine mashariki mwa mlima Hanang/Aa'nang(kwa kikwetu),ambapo kila upande ulitengeneza dialect zao.Kwa mujibu wa history,wairaqw wengi wamemezwa na wabantu huko Tanga na Kilimanjaro,na dna zinaonesha hata wachaga wa Rombo ni wairaq!kwanin nasema hvo!wakati tunahama kufuata bonde la ufa tukitokea ethiopia na somalia,kupitia kenya,mlima kilimanjaro ulitutenganisha,wengine mashariki wengine magharibi,na waliopitia magharibi nikiwepo mimi,tulisetlo eneo la engaruka/ma'angwatay,na wamashariki waliendelea mbele wengine wakabakia kilimanjaro(rombo),wengine wakaenda mpaka tanga:Waliopitia magharibi wakaendelea na safar mpaka iringa ambapo neno 'hehe' limetokana nna wairaqw ikimaanisha mtu/he!Thus they are all of the same origin and blood.Katembelee blog ya ohayodaa kama alivyoeleza dada angu Afrodenz!Hope umenielew japo kidogo.
 
Wengine wana maumbo ya kukata na shoka pia yale yanayopendwa na wanaume wengi wa Kitanzania/Kiafrica.
Mkuu sio maumbo tuu, ni "maumbo bomba na sura", tatizo kidogo ni "usafiri" na wale wa zamani, wote wamefanyiwa ile "kitu" na mpaka kesho kule vijijini bado wanafanyiwa!.
 
Nimekuwa nikitembelea pande za huko mara kwa mara...nimeshindwa kutafuutisha kati ya

a. Wambulu vs. Wairaqw

b. Wafyomi vs. Wagorowa

c. Wambugwe vs. Wambulu

d. Waasi vs. Waalawa

Hata hivyo wanafanana sana na waarabu, wa ethiopia (eritria), wasomali..etc..

Kama unataka kuoa wazuri (sura) tembelea pande hizo

Pia kuna Wambugu ambao wanapatikana Lushoto-Tanga,wanafanana sana na makabila ulotaja hapo juu. Nao ni vigumu kuwatofautisha na wambulu au wairaqw.
 
Kaaaaahh....!!!! Gam kwaa hhawataa.... Saitaa gan..??
mie mwiraq pure baba plus mama yangu... i look like Ethiopians or Somalis
Ila hapa umetishaa sikukutiiii.... thanx akoo


Pamoja na sababu hiyo, kabila la ki-Iraqw ni wengi sidhani kama litapotea. Ukianzia Karatu, Daudi, Masieda, Bargish antsi, Arri, Mbulu mjini, Anslay, Gehandu, Gedamar, Titiwi, Kwermusl, Khaday, Kainamu, Nahasey, Tsaayo-raat, Hayloto, Murray, Qwam, Kuta, Siday, Tlawi, Masqaroda, Diyomati, Bashay, Dongobesh, Tumati, Mongahay, Endoji, Bashnet, Gidhim, Maretadu, Gibdiyo, Gidmadoy, Gidarudadaw, Simhha, Haydrer, Semonyandi, Mewadani, Musru, Endagikot, Endaharghadakt, Endamasaki, Endamilay, Endanachan, Endanyawish, Erboshan, Ngw’andakw, Yarotamburda, Qatabella, Qamatananat, Qambush, Datlaa, Dumanangw, Endagew, Muguruchan, Maghang, Haydom mpaka kule Murkuchida ni wao tu. Pia kule Yaeda chini na Mungowamono kwa Wahadzabe wapo wachache.
 
user-offline.png
afrodenziThanks Nami nimejua kuwa ni wa huko na kumbe koo langu lilikuwa kubwa wadatoga ningependa kujua zaidi na zaidi dah! kwani Sijazaliwa huko na sikujua kama mie nina asili ya wairaqw kwa miaka Mingi huu Upekuzi naweza kukuta wewe ni dada yangu wa koo lol Japo hapa nilipo Nakuhusudu mno kuliko Maelezo
 
ila nasikia kwa bed sifuri kweli?
Mautaalam nayo ni relative, ila its an atitude of mind!, ukishamkubali kwenye mind, then you get the best of everthing!.
Hivi haijakutokea mtu uliemfeel sana, ukimshika tuu mkono, kwisha kabisa wala hutahitaji zaidi?.
Makabila yote ya wawindaji, wafugaji, lile zoezi ni for procreation not for pleasure, na ndio sababu pekee ya wao kufanyiwa ile 'kitu' ni kuwapa body stability endurance, hata ukipita mwaka waume zao wako mwituni, wao wanabaki very stable!.

Kama ni mambo ya kukuru kakara, siku hizi wote wanajifunza, kama mpaka Wachagga sasa nao ni mabingwa, itakua hao!.
 
Mautaalam nayo ni relative, ila its an atitude of mind!, ukishamkubali kwenye mind, then you get the best of everthing!.
Hivi haijakutokea mtu uliemfeel sana, ukimshika tuu mkono, kwisha kabisa wala hutahitaji zaidi?.
Makabila yote ya wawindaji, wafugaji, lile zoezi ni for procreation not for pleasure, na ndio sababu pekee ya wao kufanyiwa ile 'kitu' ni kuwapa body stability endurance, hata ukipita mwaka waume zao wako mwituni, wao wanabaki very stable!.

Kama ni mambo ya kukuru kakara, siku hizi wote wanajifunza, kama mpaka Wachagga sasa nao ni mabingwa, itakua hao!.
ha ha ha ha nimekubali
 
Na visit hivi karibuni "wakati wa mavuno"

Kuna member moja anasema ukimwi hakuna loo! be carefull, mkuu pale Babati ni njia panda..

Wadada wanachanganyika na maderva wa magari makubwa ni HATARI..

Nyama choma nzuri kupita sehemu yeyote Tanzania "NENDA BABATI" sijui ng'ombe aina gani wale aisee

Nice people..na ni wachapa kazi..
 
Baada ya kutembelea OHAYODA, OHAYODA, OHAYOOOODAAAA! na kufuatilia ule ubishani kuhusu kuwepo kipengele cha dini kwenye dodoso za sensa ya watu na makazi, itakayofanyika Agosti, 25 mwaka huu, hebu someni haya...

WAHADZABE: Wawindaji wa mwisho waliobaki Afrika

Wahadza au Wahadzabe kama wanavyofahamika, ni moja ya makabila madogo zaidi linalopatikana kaskazini mwa Tanzania kando ya ziwa Eyasi kwenye bonde la ufa na kupakana na uwanda wa Serengeti. Idadi ya Wahadza ni chini ya watu 1000 ambapo kati ya Wahadza 300-400 ni wawindaji na wakusanyaji mpaka sasa kama mababu zao walivyoishi kwa miaka zaidi ya 10,000. Wahadza wanabaki kuwa jamii ya mwisho kabisa barani Afrika inayotegemea uwindaji na ukusanyaji kwa ajili ya kuishi.



Kwa kuhtasari tu, haya ni baadhi ya mambo kuhusu Wahadzabe ambayo pengine huyafahamu;



  • Hawana uhusiano wowote wa kijenetiki na jamii yoyote ile japo wanawekwa kwenye kundi la ligha za Kikhoisan (Kusini mwa Afrika) kwa sababu ya lugha yao kuwa na sauti ya ``klik`` japo ni tofauti na katika nyanja zote.
  • Moja ya makabila yenye idadi ndogo zaidi ya watu, ikiwa na idadi ya wtu isiyofikia 1000 ambapo kati ya Wahadza 300-400 wanategemea uwindaji na ukusanyaji kama babu zao.
  • Jamii pekee iliyobaki Afrika ambayo bado inategemea uwindaji na ukusanyaji, kama babu zao maelfu ya miaka iliyopika
  • Pamoja na Wasandawe walio umbali wa KM 150 kusini mwa ziwa Eyasi, Wahadza ni jamii pekee ambayo asili yao ni Tanzania. Ikumbukwe kuwa jamii zingine (Wabantu, Wakushi na Wanailoti) wameingia Tanzania wakitokea pande zote za Afrika
  • idadi yao ilipungua zaidi katika karne ya 19 baada ya ardhi yao kuvamiwa na jamii za wafugaji na wakulima
  • Jitihada za serikali ya kikoloni, baadaye serikali ya Tanzania na wamishionari za kuwajengea makazi maalum na yakudumu, kuwafanya wawe wakulima na kuwabadili kuwa Wakristo kwa sehemu kubwa zilishindikana. Mpaka sasa wahdza wengi huishi kama babu zao maelfu ya miaka.
  • Wapo katika hatari ya kupoteza asili yao au kutoweka kabisa hasa baada ya ardhi yao kuvamiwa na wakulima na wafugaji, utalii na uwindaji wa kitalii unaofanywa katika maeneo yao ya asili
  • Japo kumeripotiwa wanawake wa Kihadza kuolewa na jamii za kibantu(wanyisanzu) na wadatoga lakini mara zote ndoa hizo huvunjika na wanawake wa kihadzabe kurudi kwa wahadza. Wanaume wa kihadza hawana tabia ya kuoa nje ya wahadza
  • Hujenga nyumba za muda zinazohamishika kirahisi (mobile houses), na nyumba hizi hujengwa na wanawake na wanawake ndio wenye maamuzi ya kuhama hasa pale wanapofanikiwa kupata mawindo ya mnyama mkubwa.
  • Wanaume ndio wawindaji na huoa mke moja tu. Tofauti na jamii za Kiafrika hapo zamani, Wahadza hujichagulia wenza wao wenyewe kwa kuangalia vigezo ambavyo ni uchapa kazi na mvuto au mwonekano.
  • Wahadza humiliki mali katika mfumo wa kijima. Wanapopata mawindo, wahadza hutoa zaidi ya 75% ya mawindo kwa jumuiya na familia husika hubaki na 25% (kiwango kikubwa zaidi katika mfumo wowote wa kodi unaofahamika duniani)
  • Mwaka 2007 serikali ilimilikisha eneo lenye kilometa za mraba zaidi ya 6,500 kwa familia ya kifalme ya Al Nahyan ya Muungano wa Falme za Kiarabu (United Arab Emirates) kwa ajili ya mapumziko yake na utalii katika ardhi ya wahdza, hatua iliyopelekea Wahadza na Wadatoga waliokuwa wakiishi maeneo hayo kuondolewa kwa nguvu. Wahdza walipinga na wengine walifungwa. Hatimaye baada ya vyombo vya habari vya kimataifa kurepoti kuhusu hali hiyo, mpango hou ukasitishwa.
  • Eneo la Mang`ola lililopo kwenye bonde la Yaeda limegezwa kuwa wazalishaji wakuu wa vitunguu katika ukanda wa Afrika ya Mashariki, sensa ya mwaka 1988 ilionesha kulikuwa na watu chini ya 2000 huko Mang`ola, baada ya kuanza kilimo cha vitunguu idadi ya watu iliongezeka na kufikia 38,000 mwaka 2002 na inakadiriwa kuwa sasa kuna zaidi ya wati 50,000 na hivyo kuathiri maisha ya Wahadza

Wageni wakitembelea nyumba ya Wahadza kwenye kituo cha 4CCP


Yapo mengi sana kuhusu Wahadzabe, ambao wanapatikana katika bonde la yaenda katika wilaya za mbulu, Iramba na Karatu. Jitihada za dhati zinafanya na Kituo cha Pembe Nne za Utamaduni cha Haydom (4CCP) katika kuhifadhi na kulinda urithi huu ili usitowke. Kwa pamoja wamekusanya vitendea kazi vyao na wameandika historia yao na kujenga nyumba zao za asili katika kituo hicho kilichopo Haydom
Jee tuendelee kuwasubiria wazungu tuu ndio watuhesabie makabila yetu na sio tuu kutueleza yale yaliyo katika hatari ya extinction, bali hata juhudi zote za uhifadhi wa jamii hizi asili ziko championed na wazungu!. Hivi sisi kama Watanzania, tunafanya nini?!.

Haya sasa imetokea fursa ya sensa, inaongeza gharama gani kuongeza neno moja tuu Kabila!?.

Hi ni kweli kabisa hakuna umuhimu wa kipengele cha kabila katika zoezi zima la sensa ya watu na makazi?!.

Pasco.

NB: Data hizi ni kwa mujibu wa OHAYODA, OHAYODA, OHAYOOOODAAAA! kwa hisani ya mwana jf
Afrodenz.
 
Asante, nimeitembelea na kustaajabu sana!.

mi kila nikipata muda lazima ni zame kule ..
kuna mambo mengi sana nimejifunza .
na muhimu zaidi nikitaka kujua kuhusu kitu chochote
na dondosha swali hapo hapo Ohayoda .. huyo jama wa Ohayoda anafanya
reserch na kukuletea majibu yote. Kwa kweli nimeipenda sana ile Blog.
 
user-offline.png
afrodenziThanks Nami nimejua kuwa ni wa huko na kumbe koo langu lilikuwa kubwa wadatoga ningependa kujua zaidi na zaidi dah! kwani Sijazaliwa huko na sikujua kama mie nina asili ya wairaqw kwa miaka Mingi huu Upekuzi naweza kukuta wewe ni dada yangu wa koo lol Japo hapa nilipo Nakuhusudu mno kuliko Maelezo

looohhh we Duduwasha wewe.
itabidi tukutane tuongee vizuri kabla hujapandisha BP na mi kumbe dada ako.

PS. Nashukuru kusikia umejifunza kitu kwenye ile web.
 
Last edited by a moderator:
Kabila la Wairaq haliwezi kupotea kwa sababu wapo kwa idadi ya kutosha kufanya viable sustainable population. Wanasayansi wana suggest minimum number of 500,000 individuals for sustainable population. Baadhi wamewqeka idadi hadi kufikia 500. Isitoshe sasa hivi wanajichanganya sana na makabilia mengine hii ni kusema suala la in breeding halipo kabisa. Hivi umesahau kuwa kuna mkoa mpya wa Manyara? Hi maana more individual in the population and more gene type in the same. Hey long time no see. How are you great thinkers
 
Back
Top Bottom