Pamoja na sababu hiyo, kabila la ki-Iraqw ni wengi sidhani kama litapotea. Ukianzia Karatu, Daudi, Masieda, Bargish antsi, Arri, Mbulu mjini, Anslay, Gehandu, Gedamar, Titiwi, Kwermusl, Khaday, Kainamu, Nahasey, Tsaayo-raat, Hayloto, Murray, Qwam, Kuta, Siday, Tlawi, Masqaroda, Diyomati, Bashay, Dongobesh, Tumati, Mongahay, Endoji, Bashnet, Gidhim, Maretadu, Gibdiyo, Gidmadoy, Gidarudadaw, Simhha, Haydrer, Semonyandi, Mewadani, Musru, Endagikot, Endaharghadakt, Endamasaki, Endamilay, Endanachan, Endanyawish, Erboshan, Ngwandakw, Yarotamburda, Qatabella, Qamatananat, Qambush, Datlaa, Dumanangw, Endagew, Muguruchan, Maghang, Haydom mpaka kule Murkuchida ni wao tu. Pia kule Yaeda chini na Mungowamono kwa Wahadzabe wapo wachache.
Niliwahi kupita maeneo ya Hanang,Endasak na Haydom kuna totoz nzuri Mungu kawajalia kwa uzuri wa sura.
Katesh, Endasak, Dareda, Balangledu, Basodesh, Bassotu, Gidagamwod,...
Hebu njoo mitaa hii ya kati kwenye sanamu ya Bisimini, ntakupeleka huko kunapopatikana hilo Busa/Gesuda!.Nimepakumbukia sana enzi zile za NAFCO.
Bassotu pamebadilika sana. pamejengeka, viboko pale ziwani bado wapo)
Sijui hapa dar nitapata wapi Busa au/na Gesuda!!!..kiu kweli kweli
Hebu njoo mitaa hii ya kati kwenye sanamu ya Bisimini, ntakupeleka huko kunapopatikana hilo Busa/Gesuda!.
Hiyo kitu ni orijino...mpishi mkuu hapo sehemu anaitwa Sarwat, utasuuzika na roho yako...usikose tafwadhali!.Nimeweka kwenye ratiba kesho nizuke pande hizo mapema asubuhi..ila iwe inatengenezwa na Wairaqw original siyo chinese version maana wale kila kitu wamo, khaah!
Hiyo kitu ni habari nyingine .i.e. Busa
Mkuu Andrew, samahani haiko sahihi, Wairaque wa Tanzania ni jina tuu lakini asili yao sio Ghuba, hawa ni watu wanaitwa "nilotic na semi-nilotic" hawa sio Wabantu, asili yao ni dola ya kale ya Axum na sio Uajemi!.
Ila pia issue sio asili yao, issue ni tishio la extinction!, mnaonaje kwanza mkawajua wako wangapi?.
Lipotee tu kwani linafaida gani!
Mkuu Daffi, kwenye sensa hakuna Dodoso la kabila wala Dini.Ngoja tusubirie sensa ya mwaka huu!hapo ndo utabaini kuwa wairaqw ni wangapi,na je watapotea!?ila swala la extinction sidhan maana wairaqw kimsingi ni watu wenye msimamo wa kutunza desturi na mila zao!though wabantu wengi wameanza kuwaingilia but still they are firm with their culture!issue ya kupotea hiyo sahau.
Mkuu Andrew ni jina tuu!, mfano kuna watu kule BK wanaita British Kingdom!. Nimefurahi umeweka connection yenu ya Luo ambayo hatukuijua, niko more interested kama ungeiweka ile connection yenu ya Tusti na ule mpango wa consolidation of Bahima Empire!.Sawa,lakini kama ni Nilotic,wametoka Egypt,basi labda pia wametoka Iraq. Na ni nani huyo anatoa majina ambayo hayafanani na hali ilivyo? Indeed,hata mimi nina asili ya kijaluo,nilo hamite[great,great grandfahter wangu ni mjaluo,greatgreatgrandmother wangu ni mjaluo] ,kwa hiyo labda ancestors wangu waliishi Misri zamani.
Nimekuwa nikitembelea pande za huko mara kwa mara...nimeshindwa kutafuutisha kati ya
a. Wambulu vs. Wairaqw
b. Wafyomi vs. Wagorowa
c. Wambugwe vs. Wambulu
d. Waasi vs. Waalawa
Hata hivyo wanafanana sana na waarabu, wa ethiopia (eritria), wasomali..etc..
Kama unataka kuoa wazuri (sura) tembelea pande hizo