Kabila la kichaga limegawanyika katika maeneo mangapi ?

HAKUNAGA

JF-Expert Member
Jan 3, 2012
301
72
Kabila la kichaga limagawanyika maeneo mangapi, je lugha ya kichaga imegawika maeneo mangapi ?
 
kabila na lugha ya kichagga ipo kila mahali......hata Kandahar wapo....unawatafuta....?
 
Back
Top Bottom