Kabila la bafokeng

Sangarara

JF-Expert Member
Sep 29, 2011
13,100
5,649
Jamani Jamani, Nani analifahamu hili Kabila???
http://www.tourismnorthwest.co.za/bojanala/rustenburg_bafokeng.html

Hints
Ni kabila lililo Africa kusini, Historia inaonyesha hapo nyuma karibia ardhi yao yote ilinunuliwa na makuburu na wanajamii wake wakageuzwa kuwa manamba kwenye mashamba ya makaburu.

Akaja kutokea Chief mmoja, akawaagiza vijana wa kabila hilo kwenda kufanya kazi kwenye mgodi wa madini na mapato yao yote wakayawasilisha kwenye mfuko wa Chief, Chief akazitumia pesa hizo kununua ardhi iliyokuwa mikononi mwa makaburu (buy back)
baada ya muda ikajakubainika kwamba chini ya ardhi hiyo kuna hifadhi kubwa ya madini ya Platinum, Kilichotokea baada ya hapo kimenitoa machozi, na kimenipandisha hasira sana,

Hili ndio kabila Tajiri kuliko yote Africa. Fuatilia Link na wewe uumie.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom