kabila gani wanapenda sana kusoma gazeti!!!!!

hasason

JF-Expert Member
Sep 19, 2012
1,648
1,538
tumwage zile zitu zetu za baadae which is which unafikiri makabila hodari ya kufuatilia habari za magazetini ni yapi?
Tiririkeni!!!
 
Mhmmm!!! Kumbe hadi kusoma sana magazeti kunatokana na makabila? na kutumia sana computer je nako kunatokana na makabila?
 
he! kumbe kusoma magazeti pia kuna kabila linalopenda? tuambie basi labda ulishafanya utafiti ukagundua.
 
Makabila yote wanawake wao hupenda kusoma magazeti mchana isipokuwa wale wa Kichagga tu....yaani!!!
 
We hasason umeshafanya utafiti na kujua au ndo umekuja kufanyia utafiti humu Jf?
Hutapata jibu la kweli ng'oooooooo!!!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom