Kabila bahili..... Sorry

mwl

JF-Expert Member
May 25, 2011
1,101
913
Jamaa watatu mabakhili sana, wakaelezana waondokane na tabia hii mbaya.
Mdosi: "mimi tachora duara, tarusha pesa juu, takazoingi dani ni za maskini
takazo toka nje ni za kwangu bana".
Mpare: "mimi avae nitapiga mstari, nitarusha pesa juu, zitakazo kaa ktk mstari za maskini nje ya
mstari za kwangu".
Mchaga: " mimi babaangu nitarusha juu tu, zikibaki juu wachukue maskini zitakazokuja chini hizo ni
zangu tu".
 
hawa wote si wanatoka mkoa mmoja? mkipata rais kutoka hizi sehemu mjue nchi inauzwa
 
Mkubwa hawa watu inaonekana wana uchungu na mali zao,ukiwakabidhi nchi inaonkena wataiendesha vizuri kuliko wanaotaka kuiuza nchi yetu,ni maoni tu mkuu
 
Usikosee njia ukaenda uchagani,kutangaza manunuzi ya figo kwa mamilioni,utawaua bure!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom