Kabichi limejaa maji...

Mphamvu

JF-Expert Member
Jan 28, 2011
10,702
3,288
Thats why I hate kupika, ndo haliliki tena ivo.
Nishapigia simu Edo wa kiepe aniandalie chipsi mishkaki (I guess unajua kama sili mayai).
Aaaaagh!
 
edo hajafungua..pita Facebook..au kwa Amijei...

Tatizo Facebook viepe vyao wanakata makubwa, chips kama collection ya mihogo bwana? Yai moja halikamati, problem with Hamijei ni kuhusudu wadada, anakera mpaka upeo.
 
Thats why I hate kupika, ndo haliliki tena ivo.
Nishapigia simu Edo wa kiepe aniandalie chipsi mishkaki (I guess unajua kama sili mayai).
Aaaaagh!
Pole sana Mphamvu lol,
Nimecheka mpaka basi km vipi lianike tu litakauka hahahha!
 
Last edited by a moderator:
Tatizo Facebook viepe vyao wanakata makubwa, chips kama collection ya mihogo bwana? Yai moja halikamati, problem with Hamijei ni kuhusudu wadada, anakera mpaka upeo.​

...duh..kumbe Hamijei..mtu wa totoz sana...?.....kwa Ali baba Vipi...?@Mphamvu
 
Taabu yote ya kubika cabbage ya nini? si bora ungechukua mbilimbi? teh teh teh

Kipendacho roho bibie Erotica.
Mbilimbi ndio nini, nilishamsikia mwimbaji mmoja wa taarab akiimba kuwa mbilimbi mbovu ikiguswa inatumbuka...
 
Last edited by a moderator:
Kipendacho roho bibie Erotica.
Mbilimbi ndio nini, nilishamsikia mwimbaji mmoja wa taarab akiimba kuwa mbilimbi mbovu ikiguswa inatumbuka...

teh teh teh, nitamwambia bibiangu atupikie nitakukuribisha uje ule. hazielezeki.
 
...duh..kumbe Hamijei..mtu wa totoz sana...?.....kwa Ali baba Vipi...?@Mphamvu

Ulikuwa hujui tabia ya Hamijei?
Kwa Alibaba poa sana, tatizo nyomi lake. Kwa jamaa huwezi kufika na kuchukua kiepe, lazima uuweke kidogo. Yote kumi, gtisa kwa Saddam Makuku, kiepe kitamu kama kinaumwa kisukari, hao kuku wa kupaka je?
 
teh teh teh, nitamwambia bibiangu atupikie nitakukuribisha uje ule. hazielezeki.

Hapo sawa, kinabibi wanajua sana kupika. Their meal never lets you down.
Sasa tufanye ivi, tukutane PM tupange tunaenda lini kwa bibi, na kwa staili gani.
Au unasemaje Erotica?
 
Last edited by a moderator:
Hapo sawa, kinabibi wanajua sana kupika. Their meal never lets you down.
Sasa tufanye ivi, tukutane PM tupange tunaenda lini kwa bibi, na kwa staili gani.
Au unasemaje Erotica?

Kwani unamuogopa nani hapa? wewe panga mambo yote hapa hapa hakuna shida.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom