Kabakwa live

jamaa yangu anapanga kwenye nyumba moja na mwanamke ambaye mmewe anasoma nje. Huyu mwanamwanamke amekuwa akitafuta namna ya kufanya ili apate huduma toka kwa huyu jamaa yangu lakini hakupata approach pia jamaa yangu huwa hagusi wake za watu. Sasa jana jioni, yule mwanamke alimwomba jamaa akamsaidie kupanga furniture chumbani. Yule mdada alikuwa amejifunga kanga ati anataka wakimaliza kupanga vitu aende kuoga. Mambo yakawa hivi: Hiki kitanda naomba tusogeze hapa, hili kabati lisogee nyuma kidogo, njoo upande huu tulivute kabati.... Jamaa akawa anafanya kama alivyoambiwa. Katika ule ubusy, si kanga ikadondoka, na tazama ndani hapakuwa na chupi wala kivazi chengine!! Jamaa anasema, ghafla mguu wake wa katikati ulinyooka 90° huku ukimvuta kuelekea pahala pasipo mguu maungoni mwa yule dada. Wakafanya hiyo shughuli nyingine kwa fujo sana. Baada ya kumaliza, yule dada akamwomba warudishe kitanda na kabati kama vilivyokuwa mwanzo.

je wewe kama mwanaume ungejizuiaje hapa?
mung wangu msije mkawa mmesha mnanii shemeji yangu nyie uwiii!
 
Kaka ebu nidokeze imetokea wapi hii ishu??? Naona kama inanigusa??? Ni bongodaresalaam, arusha au?????? TAFADHALI SANA NAOMBA UNIJUZI. KAMA NI BONGO NI MAENEO GANI??
Ni kwenye ile nyumba uliyopanga kaka ila usiogope you have lost nothing!!
 
Hiyo ni balaa kweli kweli.... mwanangu tumeumia kwa jinsi hii!!!!!
Kimsingi ukimwacha mkeo zaidi ya miezi miwili kama yuko below 40 utakuta amechakachuliwa mara nne minimum. Ila anakuwa bado yuko intact na huwezi kujua kwa sababu ukikaribia kurudi huwa wanastop two weeks before your arrival. Yaani huwezi kudoubt chochote. Kwani haupo tz tangu lini ili nikupigie calculations za michakachuo iliyofanyika. Just kupima tu ajali mana kutokea ishatokea kaka.
 
Ni kwenye ile nyumba uliyopanga kaka ila usiogope you have lost nothing!![/QUOTE]

Mkuu unamaanisha nini hajapoteza kitu ?, asije akawa amegain magonjwa ya zinaa...
Mambo mengi tunaweza kushare.., lakini hili mkuu utanisamehe.., hii ni special kwa mtu mmoja tu.
 
Kwa hiyo Mkuu huwa unakwenda na wife sehemu zote..?
Angalia usije pata ugonjwa wa moyo kwa hofu.
Mi ninavyodhani akiamua na akiwa mapepe hata safari ya kwenda sokoni na saloon anaweza akakutana na watu zaidi ya watano chini ya masaa mawili na usijue kitu..,
 
Hajagain ugonjwa wowote. Kwa kawaida, mke anayekupenda sana hatafanya bila kinga tena kwa uangalifu mkubwa. Ila kudhani kwamba hatafanya ni ndoto za abunwasi. Hata mimi sipendi kabisa kushare ndio mana nilimpiga talaka mke wangu ila hapa naeleza hali halisi ya mambo mkuu. Jipe moyo.
 
Kwa hiyo Mkuu huwa unakwenda na wife sehemu zote..?
Angalia usije pata ugonjwa wa moyo kwa hofu.
Mi ninavyodhani akiamua na akiwa mapepe hata safari ya kwenda sokoni na saloon anaweza akakutana na watu zaidi ya watano chini ya masaa mawili na usijue kitu..,[/Q
Siwezi pata ugonjwa wa moyo mkuu. Mimi niko rooted kwenye reality. Wangu nimemdivorce na nina uhalkika yu kati ya wanawake waaminifu saaana ingawa alishanicheat nikajua kwa bahati mbaya tu- Hizo za kucheat kila saa ni za malaya. Mimi nazungumzia mke ambaye mnapendana saaaana. Ukiwepo hananihiwi ila miezi miwili, michakachuo haipungui idadi hiyo. Kweli tena
 
Kwa hiyo Mkuu huwa unakwenda na wife sehemu zote..?
Angalia usije pata ugonjwa wa moyo kwa hofu.
Mi ninavyodhani akiamua na akiwa mapepe hata safari ya kwenda sokoni na saloon anaweza akakutana na watu zaidi ya watano chini ya masaa mawili na usijue kitu..,

The Following User Says Thank You to VoiceOfReason For This Useful Post:

Keren_Happuch (Today)​
 
Hajagain ugonjwa wowote. Kwa kawaida, mke anayekupenda sana hatafanya bila kinga tena kwa uangalifu mkubwa. Ila kudhani kwamba hatafanya ni ndoto za abunwasi. Hata mimi sipendi kabisa kushare ndio mana nilimpiga talaka mke wangu ila hapa naeleza hali halisi ya mambo mkuu. Jipe moyo.

Duh Mkuu unaonyesha hasira sana.., kwanza mimi bado single.., ila siamini theory yako kwamba wanawake wote hawawezi kukaa muda mrefu bila kukutana kimwili na mtu (tena wanawake wanao uwezo kuliko wanaume).

Ni kwamba hakikisha kwamba mke wako anakuwa busy (anashughuli za kufanya na sio kukaa bila kazi) wanasema Idle Hands are Devils Plaything Sasa wewe kama unamwacha wife nyumbani anakuwa bored na neglected anaweza kuanza kuwaza vitu vya ajabu.., lakini kama wife ametulia hili halina shaka..

Hata wewe jaribu kuwa busy na occupied..., hata Mabinti wanaweza wakawa wanapita usiwaangalie mara mbili. Mkuu kama Alikutenda Mmoja Usiichukie Dunia Nzima..., wazuri wapo tu tena wengi.
 
mkuu ulimpa red card yule mdada? u r the man! u r my hero!
Naam mkuu, yule nilimpiga chini kisheria kabisa. Siuzi utumbo mimi. nzi sitaki kabisaaaa. Na sina mpango wa kuoa tena. Can you believe alikuwa akinitumia wadada tu ati ndo wanishauri nimrejee. Hadi nikahisi alikuwa anataka nilipize ili hasira ipungue. You cant believe ila mambo ndo yako hivo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom