Nina rafiki yangu,anapenda kwenda uvunguni hadi aibu.Amemaliza masomo yake UDOM mwaka huu.
Kwakua maisha ya mtaani ni magumu,akaomba tempo kufundisha katika shule moja inaitwa brain trust mjini Dar.
Baada ya kukubaliwa awe anafundisha akatokea kumpenda mwanafunzi wa kike wa shule hiyo.Akamwambia amtembelee kwake kwani ana mazungumzo naye,alifanya hivyo mara nyingi bila mafanikio.
Hatimaye denti akachoshwa na tabia hiyo,ikabidi akamwambie mama na baba yake.Kwa hasira wazazi wale waliamua kwenda kuripoti kwa mkuu wa shule wakiwa na mtoto wao.
Mkuu wa shule alisikitika sana,akatoa amri mwalimu aitwe ofisini,alipofika pale akamkuta yule denti anayemtaka pamoja na wazazi wake na mwalimu mkuu pia.
Mapigo ya moyo wa yule mwalimu yalibadilika kwa mshituko.Kwa huruma za wazazi na mkuu wa shule wakaona vema wamfukuze kazi kwani hakuwa na nia ya kuwajenga wanafunzi bali kuwaharibia masomo.
Rafiki yangu alipopata nauli ameamua kurudi kijijini kwao Mtwara.