KAA CHONJO:"" Upepo wa katiba unapita kwa Kasi ya ajabu""......

Kachanchabuseta

JF-Expert Member
Mar 8, 2010
7,269
675
Isee upepo wa katiba unapita kwa kasi ya ajabu

Huko nyuma niliwai kuandika kuwa ikifika muda wa kukusanya maoni
TISS wataleta dude moja la kututoa kwenye reli naona wamefanikiwa
kwa kiasi fulani.

Serikali inapenda mgomo wa madaktari uendelee kusongo huku ikikimbiza
tume ya katiba vijiji kukusanya maoni kwa watu wengine wasiokuwa na uelewa

Kuweni chonjo UPEPO WA KATIBA UNAPITA KWA KASI YA AJABU
 
Inawezekana ikawa na ukweli kwa hili unaloandika,....maana inafahamika waTz tuna kawaida ya kusahau..
hivo ni rahisi na inaonekana hili la katiba mpya saizi halina mashiko sana..
 
Back
Top Bottom