kaa chonjo na mapenzi

Lord Lofa

JF-Expert Member
Dec 26, 2011
2,359
2,315
ni mara nyingi tumekuwa tukiona swala la mapenzi kama kitu kidogo katika maisha kusalitiana na kuumizana kimekuwa kitu cha kawaida.jambo hili si zuri hata kidogo tunapaswa kuheshimu swala hili na kulichulia tahadhali kubwa kwani ni madhara makubwa yanayotokea kutokana na watu kuleta utani katika mapenzi
 
Simple truth of present:

if u dont want to know whats pain,
don't love anyone truely.

If someone loves you truly,
never show them whats pain.
 
Mi binafsi cjakuelewa hata punje!
Hebu funguka usomeke kijana.
Kuna huu usemi...............Mficha maradhi kilio kitamuumbua,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,angalia yasikukute hayo!

Angusha yaliyokusibu!

ni mara nyingi tumekuwa tukiona swala la mapenzi kama kitu kidogo katika maisha kusalitiana na kuumizana kimekuwa kitu cha kawaida.jambo hili si zuri hata kidogo tunapaswa kuheshimu swala hili na kulichulia tahadhali kubwa kwani ni madhara makubwa yanayotokea kutokana na watu kuleta utani katika mapenzi
 
ni mara nyingi tumekuwa tukiona swala la mapenzi kama kitu kidogo katika maisha kusalitiana na kuumizana kimekuwa kitu cha kawaida.jambo hili si zuri hata kidogo tunapaswa kuheshimu swala hili na kulichulia tahadhali kubwa kwani ni madhara makubwa yanayotokea kutokana na watu kuleta utani katika mapenzi

Ndugu vipi, umetendwa?
 
Maoni mazuri ....!
 
kwangu mimi hayo unayoyasema bado hayajawa mambo ya kawaida na sidhani kama yatakuja kuwa ya kawaida,sina muda wa kuanzisha uhusiano wa kimapenzi na mtu ambaye ninajuwa wazi hayumo katika mipango yangu ya maisha atakuwa rafiki tu wa kawaida.
 
Back
Top Bottom