Ka swali kadogo tu. . . . .!!

Eiyer

JF-Expert Member
Apr 17, 2011
28,258
20,708
Hebu tuchukulie kwamba umeolewa au kuoa,halafu una mafanikio makubwa kifedha mpaka inafikia mahali ndugu jamaa na marafiki zako na hata watu wengine wanatamani hayo mafanikio yako. . . . . . . .Kwa upande wa ndoa yako pia si haba umefanikiwa kupata mwenza anaekujali,mwenye upendo na anaejua hasa ndoa ni nini,anakufanya ujisikie mwenye thamani na mwenye furaha duniani.Kila anaekufahamu anatamani ndoa yako,wewe na mwandani wako ni kucheka tu.Mmefanikiwa kufahamika na mmejijengea heshima kutokana na mafanikio hayo ya ndoa na fedha!. . . . .Sasa anakuja malaika kutoka kwa Mungu anakuambia "nimeagizwa nikuondolee kimoja kati ya mwenza wako au mali zako,ila nimeambiwa nikuulize kwanza,utakachochagua ndicho nitakiondoa"!Je ungechagua nini na kwanini?
 
Ninge mwambia kama utaniwachia wife wangu aishi milele na mimi hatufi aondoe mali yangu, kama atakufa basi amtangulize tutakutane naye mbele ya safari, aniwache ni enjoy na mali yangu...mana huu ndo ufalme wangu :love:
 
.....malaika...!? Sema shetani mwondoa roho.....
Hata hvyo sichagui kitu.....
 
achukuwe mali au atuchukuwe wote at once coz angalizo kama kweli kuna mapenzi ya zati....niayo tu ...

ngoja nipige mbizi nita rudi later
 
Note. amuna maraika wa ukwe atapenda kuwa tenganisha wana ndoa wenye ku-mcha mungu.

Labda iyo mali na mambo yenyu ni ya ki-shetani.....

ngoja nipoze kooooooo, nitarudi
 
Kabye,umeandika lugha gani kwenye post yako ya kwanza?
 
mali please, iondoke tu, tutatafuta nyingine,kupata mwingine kama huyo ni mziki, na hata ukipata...still ni long journey.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom