Ka modem ka tigo kamenishinda

Masika

JF-Expert Member
Sep 18, 2009
723
30
Helo wataalam
Kuna ka modem ka Huawei E153 KAMENISHINDA kuchakachua
nimejaribu kufuatilia thread mbali mbali lakini napata error 'send unlock command: ERROR
baada ya kufuata hatua anuai zilizoainishwa naombeni mnisaidie
 
Itupe bana kanunue mpya wenzio watapata wapi mshara visipoharibika hivyo....???
 
kwan lazma uchakachue hyo modem, ulinunua ya nn kama huwez kuilipia? watu wengine bwana, wamekalia ufisadi tuuuu....si lazma ukombe mabilioni BOT au uchukue rushwa au utoe ushinde uchaguzi, hata huo ni ufisadi na wizi! kama huna pesa ya kulipia gharama za modem itupe tu.
 
Inawezekana wewe ni mwizi kwani ku unlock ni ufisadi?
 
Helo wataalam
Kuna ka modem ka tigo E153 KAMENISHINDA kuchakachua
nimejaribu kufuatilia thread mbali mbali lakini napata eroor 'unlock command error
baada ya kufuata hatua anuai zilizoainishwa naombeni mnisaidie

hemu eleza vizuri wewe umefanya vipi mpaka ikawa inakataa?Je unaweza ukatumia still internet ya tigo ama modem yako ishajilock?
 
kwan lazma uchakachue hyo modem, ulinunua ya nn kama huwez kuilipia? watu wengine bwana, wamekalia ufisadi tuuuu....si lazma ukombe mabilioni BOT au uchukue rushwa au utoe ushinde uchaguzi, hata huo ni ufisadi na wizi! kama huna pesa ya kulipia gharama za modem itupe tu.
Mkuu hili sio jukwaa la siasa nijukwaa la kitaalamu,kama hujui kitu piga kimya na sio kuropoka tu ilimradi umeongeza post zako.
Mkuu MASIKA dadafua kidogo umetumia njia/software ipi? na unakwamia wapi haswa,je modem inafanya kazi kwa line ya tigo? naamini wadau watakusaidia
 
Yawezekana ikawa anafanya kazi tigo!!!!huyu jamaa ndiyo maana akapost hii kitu
user-online.png
itnojec
 
hemu eleza vizuri wewe umefanya vipi mpaka ikawa inakataa?Je unaweza ukatumia still internet ya tigo ama modem yako ishajilock?

BADO INAFANYA KAZI,NIMETUMIA universal master code na writer
 
Hata mi nashangaa mkuu jamaa anataka msaada wengine wanaanza kuleta porojo zao hivi nyie watu hamjui kama humu jf kuna majukwaa mengi tu,hili sio jukwaa la malumbano na lugha za kisiasa hili ni jukwaa la sayansi na teknolojia if u dont know things they asked about scieice and technology just shut the **** up. Nasema haya coz i hate politics and politicians.
 
toa line ya tgo, weka ya voda/airtel inakupa response gani?

inatambua hiyo laini kama ni airtel inaandika wcdma airtel tz au ndo imekubali? lakini nta connect kwa application gani?
 
Back
Top Bottom