K

tobycow

Senior Member
Apr 12, 2011
129
13
hivi unajua majina ya vitu vingi vitamu huanzia na k.kitumbua,,kuku,kababu, hebu kitaje hiko kingine unachokifikiria
 
Hata vitamu vingine vinaanza na M pia kama Machungwa,mananasi,mapera,mahindi,maembe,mapapai n.k
 
...samahani, nimekumbuka vingine vitamu na vinaanziwa na "T"....
....Tende...ulishawaza vingine
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom