K wa wakazi wa dar

Sio diproma,ni diploma.

Nadhani busara itumike jamani,mtoa ombi alikosea kuwauliza wa dar pekee kumbe hizo nafasi zikitoka zinatangazwa Tanzania nzima labda hajui hilo,pili ni kuhusu ukoseaji wa spelling,kumrekebisha co vibaya lakini namna ya kumrekebisha lugha zilizotumika co nzuri,tuelekezane kwa lugha laini itaeleweka na cku zijazo atajirekebisha na kuwa makini. Wanajf naomba kuwasilisha.
Hivi lugha mbaya iliyotumika ni ipi hapa? Mbona Ladyheart ametumia lugha ya upole kabisa hapo!
 
Habari ni kwamba hizi nafasi ahh kumbe ni kwa watu wa dar pekee ndo inawahusu nisamehe nilikuwa nimwagike lakini nipo nje ya dar.Labda mpaka uniruhusu mkuu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom