K' moto huku buku 3 tu kwa 1kg

Wakati mahali kwingine KITIMOTO zinafugwa ZERO GRAZZING... Kule Mpanda hadi Tunduma wanafugwa kama Kuku wa kienyeji...
 
niko MPANDA wadau
@1kg ya noah ni buku 3, mnyama ametulia, fresh hajalala kwenye friza...nimependa kwa kwel..
wakati huo dar inakaribia buku 9...nataman mpanda iwe dar

Ha ha haaaa! Haiwezi kuwa kama dar kwa sababu dar sasa hivi kila kitu bei ghali na yoyote ni kwa sababu hamlimi
 
niko MPANDA wadau
@1kg ya noah ni buku 3, mnyama ametulia, fresh hajalala kwenye friza...nimependa kwa kwel..
wakati huo dar inakaribia buku 9...nataman mpanda iwe dar

sio inakaribia ni buku tisa kwa one kg
 
niko MPANDA wadau
@1kg ya noah ni buku 3, mnyama ametulia, fresh hajalala kwenye friza...nimependa kwa kwel..
wakati huo dar inakaribia buku 9...nataman mpanda iwe dar

We Mponda Mbagala! Haahaaa, Kwa Shayo nin? Tuambiane!
 
Back
Top Bottom