K' moto huku buku 3 tu kwa 1kg

BAGAH

JF-Expert Member
Jan 17, 2012
4,523
1,060
niko MPANDA wadau
@1kg ya noah ni buku 3, mnyama ametulia, fresh hajalala kwenye friza...nimependa kwa kwel..
wakati huo dar inakaribia buku 9...nataman mpanda iwe dar
 
Mkuu huyo atakuwa Ngiri siyo K'moto. Noah anavyogharamikiwa kulishwa sidhani kama ni buku 3, unless kama ni Noah pori anayejitafutia riziki sawa. Wazazi wangu wanawafuga kule kjjn ni gharama kweli. Natamani bei yake iwe juu ya kl ya ng'ombe!
 
Angalia bana huko ni wataalamu wa mambo ya kiutamaduni...usije ukawa unakula hyena (naogopa kutaja kwa kiswahili)
 
Mkuu huyo atakuwa Ngiri siyo K'moto. Noah anavyogharamikiwa kulishwa sidhani kama ni buku 3, unless kama ni Noah pori anayejitafutia riziki sawa. Wazazi wangu wanawafuga kule kjjn ni gharama kweli. Natamani bei yake iwe juu ya kl ya ng'ombe!
Unabisha ili ubishe tu! au una uhakika na unachokibishia? waulize watu wa Mbeya Mdudu kilo inauzwa shilling ngapi kule?
 
Halafu jamani serengeti leo wametangaza bei ya bia hazijapanda, ni shilling 1500 kwa rejareja kwa brand zao, tusikubali kuibiwa na wamiliki wa mabar, maana mdudu lazima umshushie na kandovu tuwili tutatu.
 
Hiyo heading imenifanya nifikirie vitu vingine. Andika tu kwa kirefu "kitimoto" ili ueleweke kirahisi na wanajamvi wote bhana!
 
niko MPANDA wadau
@1kg ya noah ni buku 3, mnyama ametulia, fresh hajalala kwenye friza...nimependa kwa kwel..
wakati huo dar inakaribia buku 9...nataman mpanda iwe dar

Mimi naifahamu fika bei ya mdudu huko Mpanda, huyo muuzaji ana yake na wewe... kama huamini nenda tena kesho kama hajakupa ya bure?
Kijana chunga, utaliwa sotojo... Ohooooo?
 
duuu kweli mpanda raha hasa kwa wapenda noah ila ma dr wa muhas wanasema anapunguza nguvu sijui kweli..
 
Back
Top Bottom