"K" kubwa na "k" ndogo

Ni kweli zinatofauti sana, kama kubwa inakusumbua kwenye kuiandika achana nayo, jizoeshe kuiandika k ndogo, itakusaidia kuremba mwandiko na mwalimu atakupa sifa!

umejuaje???
napenda ndogo kinomaa..
yani ikitokea ni lazima kuandika k kubwa
duh hata kalama cwezi kuinuaa...
na muandiko huwa mbayaa..
 
Kk zinatafauti katika maandishi na matumizi.
Huwezi kuandika Kabwe kama jina la mtu kwa kabwe.

Hebu tutrudi darasani kidogo, sio kwa Kk tu bali kwa herufi zote.
Unatumia herufi kubwa mwanzo wa tungo au kwa jina pekee (proper noun).
Kwa hivyo unaweza kuandika kwa mfano,
"Kuni zimepanda bei" au "Bei ya kuni iko juu"
 
umetisha mama!!!
 
umejuaje???
napenda ndogo kinomaa..
yani ikitokea ni lazima kuandika k kubwa
duh hata kalama cwezi kuinuaa...
na muandiko huwa mbayaa..
Aisee, najaribu kufikiri jinsi k kubwa zinavyokupa tabu na kukuharibia mwandiko, ila jitahidi ujifunze zote, zote manake kuna siku utatakiwa kuandika k kubwa peke ake!
 
K ni k tu hamna cha ndogo wala kubwa,k zote zina same appearance Kk
Nimegundua tofauti ya K kubwa na k ndogo.......ukicheki hizo slanted lines zinapokutana na penye tofauti. K ndogo slanted lines zinakutana chini, wakati K kubwa zinakutana juu... .............. AKYAMUNGU YAANI SIAMINI KAMA NAMI ZINA NIPA SHIDA............. HEBU NISAIDIENI.... HAYA MANENO NIMEANDIKA KWA HERUFI NDOGO AU KUBWA?............ kuku, koku, soko, zuku ..............
 
K kubwa ndiyo ni nzuri zaidi maana unaweza kuiandika vizuri hata kama utafumba macho! tofauti na k ndogo itakusumbua kuifitisha kwenye mstari wa daftari! Aisee!!
 
Hahahaha! Basi wewe mwandiko wako utakuwa mbaya sana...
 
Nimegundua tofauti ya K kubwa na k ndogo.......ukicheki hizo slanted lines zinapokutana na penye tofauti. K ndogo slanted lines zinakutana chini, wakati K kubwa zinakutana juu... .............. AKYAMUNGU YAANI SIAMINI KAMA NAMI ZINA NIPA SHIDA............. HEBU NISAIDIENI.... HAYA MANENO NIMEANDIKA KWA HERUFI NDOGO AU KUBWA?............ kuku, koku, soko, zuku ..............

hapo hapo kwenye slanted lines..
za k kubwa zimetanuka sanaa aisee...
 
Back
Top Bottom