JWTZ Professionals

ukishajua itakusaidia nini?je umewezaje kujiita ID hiyo bila kujua iko vp?.ntakusaidia kidog6 Lt Conal huyu anakua na nyota moja pamoja na ngao ya bibi na bwana begani kila upande.

teh teh mbwa kala mboga za majani
unajiita lt.col hujui anavaaje begani wala mtiririko wa vyeo.
Gud reply mkuu
 
Hivi Jeshini kuna wataalamu? Kuna kitu gani walishawahi gundua chenye manufaa? Maana majeshi ya wenzetu huko usa ndio technology inapoanzia sijui kwa hapa kwetu ebu tujuzeni.

hii ndio tanzania ya magamba King Kong III. Jeshini form four waliofeli, mashuleni walimu waliofeli, wauguzi wanaenda pia waliofeli (atleast D biology).......inatisha sana maana tunatengeneza taifa lisilokua na mwelekeo
 
jwtz mzuka sanaa vyeo vya kumwaga form6 nyota2,wakati policeform6 ukoplo,magereza nakoform6 ukoplo,form6 kimbilien jwtz
 
Hivi Jeshini kuna wataalamu? Kuna kitu gani walishawahi gundua chenye manufaa? Maana majeshi ya wenzetu huko usa ndio technology inapoanzia sijui kwa hapa kwetu ebu tujuzeni.

walichogundua ni kua mabomu mengi yame exp. na kuyafanyia kazi kama ilivyo tokea g.mboto na m.gala.Huo ndo utafiti wao mkuu
 
Kweli jeshi limeanza course week ya 2 sasa na ni wataalamu tu ndio maana course ya ni Arusha monduli. Watatangaza tena ila kwenda ni mwakani.
 
mjiandae kwenda kudundwa na malawi,anapiga za chembe balaa,ziwa lote lao lile,mtachapwa then mnadumbukizwa ziwani mkaliwe na mamba,chezea jeshi wewe,huko ni ukakamavu tu no ubradhamen
 
Kweli jeshi limeanza course week ya 2 sasa na ni wataalamu tu ndio maana course ya ni Arusha monduli. Watatangaza tena ila kwenda ni mwakani.

Mkuu funguka. Watachukua lini?
 
Kweli jeshi limeanza course week ya 2 sasa na ni wataalamu tu ndio maana course ya ni Arusha monduli. Watatangaza tena ila kwenda ni mwakani.

Mkuu funguka. Watachukua lini? Walisema ni JKT ndio wapo mafunzoni. Weka mambo sawa mkuu!
 
Mnatuchanganya tu jamani .......................! watu tunangojea watangaze afu mnasema watu tayari wako depo..........!???? mbna hamueleweki...............!
 
Yeah jamaa wanazingua sana!
 
Mnatuchanganya tu jamani .......................! watu tunangojea watangaze afu mnasema watu tayari wako depo..........!???? mbna hamueleweki...............!

ni roho mbaya,na yeye anahitaj anaona mtambania,Ni mwez wa 10,mm pia nasubiri
 
Guys, plz naomba kufahamishwa, kwa waliomaliza vyuo na wanasubiri graduation on octoba, novemba e.t.c mwaka huu..wanayo fursa? n if yes how r dey gona b recognized as graduates coz hawana vyet?
 
how can u be recognized as graduate before graduation?
 
jipangeni sio mnataka kukimbilia jeshi sababu mtaa umekushinda jiangalie kama una interest pagumu humu mwenyewe nilisota
 
kama mtu anataka jeshi ni vizuri apewe nafasi sio kwa sababu amekosa ajira ingekuwa hivyo watu wengi wangeenda
 
Kwa taarifa nilizonazo proffessional wamechukuliwa mwezi wa 6 na sasa wapo mafunzoni kwa miezi 6 mimi mwenyewe nmepewa taarifa na mkuu mmoja wakambi hapa Kigoma,ila wakianza mchakato tena tutapeana taarifa wakuu
 
Habari hizi zinachanganya!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom