JWTZ Professionals

Hivi Jeshini kuna wataalamu? Kuna kitu gani walishawahi gundua chenye manufaa? Maana majeshi ya wenzetu huko usa ndio technology inapoanzia sijui kwa hapa kwetu ebu tujuzeni.
 
Jeshi la TZ hamna kitu, uvumilivu wa wananchi unawafanya desperate job seekers kukimbilia huko! Ngoja sekeseke la Chadema Kuchukua nchi 2015 liingie uone watu watakavyoukana ujeshi kama ilivyokuwa libya.
 
haya wale wa jwtz nafasi wametangaza makao makuu tayari ila kwa wenye course ya udaktari na engineering tu...wengine hapana kwa mwaka huu
 
  • Thanks
Reactions: dfa
mi nina miaka 33,na ndo nimetoka chuo naweza kuajiriwa jwtz kweli?naomba kufahamishwa tu
 
Professionals JWTZ wameshaanza trainning wiki ya pili sasa wewe unasubiri nini? wapo makambi mbalimbali watakuwa huko miezi sita
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom