Mfwatiliaji
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 1,323
- 67
JamiiForum,
Jana nimeangalia clip ya mkulu(Amiri Jeshi Mkuu Mh. Rais akiweka siri za jeshi letu wazi namnukuu '' Gongo-la-Mboto ndiyo kambi yenye silaha zote kali na nyingi kupita zote Tanzania'-source Video clip GlobaPublishers na abbymrisho -gongolamboto video youtube.
Hapa mkuu wa usalama jeshi anatumia power-point presentation tuwaelezea maadui wa Tanzania kwa kina siri zetu za kijeshi ila siri za Kagoda na DeepGreen ndiyo siri za Taifa.
Yaani naumia kichwa nikifikiria priorities za hii nchi zilivyokaa..yaani ni upside down