JWTZ kushika nafasi ya 27 kwa ubora duniani

Jama tu wape moyo watu wetu tusi jiweke nyuma vile yupo vizuri ula Duniani 27 sina wakika nalo meta uzi tupe list na vigezo please
Wape moyo wako ufe mwenyewe, kwa hilo siamini na sintoamini. Watuwekee ushuhuda kwa yale yaliyofanyika hadi kuwa nafasi ya 27
 
Mnadhimu mkuu wa jeshi la wananchi wa Tanzania Luteni Generali Venance Mabeyo akihojiwa leo kwenye ufunguzi wa mazoezi ya namna ya kukabiliana na maadui kwenye maeneo ya pwani na visiwani vilivyo husisha jeshi la wananchi Tanzania (JWTZ) vikosi vya anga na wanamaji aliongea kuwa kwa namna jeshi la wananchi wa Tanzania lilivyo bora hata kusifiwa kimataifa kutokana na uwezo wanao uonyesha nje na ndani ya nchi ikiwa kimataifa kwa sasa kuwa nafasi ya 27. Katika mazoezi hayo yatakayo husisha namna ya kukabiliana na waharamia katika pwani yalifunguliwa leo na rasmi yatafungwa na amiri jeshi mkuu wa Tanzania, rais John Magufuli.
Hii ngumu kumesa.
 
Unapoongea suala la kuwa POWERFUL militarily, wanaongelea jinsi ulivyo well equipped na vifaa vya kisasa na wingi wake, ila unaweza ukawa na hivyo vifaa ila strategy hauna, hapa ndo ule msemo wa AKILI NYINGI NGUVU KIDOGO/ AKILI KIDOGO NGUVU NYINGI unapowaangusha wenzetu majirani.
 
Yaani watanzania manyumbu kweli wanadanganywa mchana kweupeee eti cc wa 27 worldwide, kwa bajeti ipi ya wizara ya ulinzi,vifaa vya kijeshi na wingi wa wanajeshi,na mataifa tajiri duniani ndo tuyashinde maana cc hata nchi tajiri 200 duniani hatupo,alafu jamaa anasema cc Africa hatuna mpinzan,kwahiyo tumewazidi South Africa? Ni unyumbu wa kiwango cha PhD.
Nimeangalia habari itv, mnadhimu hakusema afrika hatuna mpinzani bali ni Spencer Lameck ndo alisema hivyo, shirikisha ubongo wako, usimeze kila kitu unachosikia kwa mtu yeyote!
 
Unajua akili za wale Bavocha utaziona tu
Na hapa ndio unajua kwamba kuna watu akili wanazo za kuvaa nguo tu,na wameisha aathirika kisaikolojia na Siasa.Angalieni,mwisho wake mtoto unaemzaa anaweza kuwa na uono wa kuchambua kuliko Mzazi,hii inakuwa mwisho ni Aibu

Napongeza Jeshi la JWTZ kwa ubora wao,na hili linajulikana,labda kwa wale wenye kuishi ilimradi siku zinaenda tu.
Hovyo kabisa aan.
Lete ushahid walau hata source moja inayotoa ranking ya 27 dunian Kama na ww hjapotea kisaikolojia
 
Kama tanzania ya 27 duniani nchi kama japan,china ,korea,uingereza,ufaransa,ujerumani,sa,korea zote,china,usa,canada,egypt,saud arabia,palestina,pakistan,israel,spain,italy,brazil,ukrain,urusi,bulgaria,germany,zitakuwa zangapi
 
Hivi vitu vya nadharia tu hv.. mtu anaweza sema yeye ni wa kwanza kwa ubora duniani.. si kusema tu..!! Yaani..!!

Basi tu...:oops::(:eek:
 
ukweli ni kwamba hawa jamaa wako vizuri tena sana pamoja na kwamba hawana zana za kutisha....training yao iko vizuri sana....
 
kwa nnavoelewa mimi
hayo ni miongoni mwa majeshi bora zaidi duniani..
na yaliyo kamilisha mission ndani ya muda mfupi zaidi..
 
Back
Top Bottom