JWTZ kushika nafasi ya 27 kwa ubora duniani

Unajua akili za wale Bavocha utaziona tu
Na hapa ndio unajua kwamba kuna watu akili wanazo za kuvaa nguo tu,na wameisha aathirika kisaikolojia na Siasa.Angalieni,mwisho wake mtoto unaemzaa anaweza kuwa na uono wa kuchambua kuliko Mzazi,hii inakuwa mwisho ni Aibu

Napongeza Jeshi la JWTZ kwa ubora wao,na hili linajulikana,labda kwa wale wenye kuishi ilimradi siku zinaenda tu.
 
Wenye chuki wengi siasa imewatawala imewafanya ubongo wao uwe na funza
Hasira za kuichukia ccm na policcm ndo imewafanya watu walichukie hadi jeshi.
ki ukweli JWTZ ni jeshi bora, ni jeshi la watanzania wote na si jeshi la ccm.
Tungekuwa na jeshi dhaifu Kama la Congo, ziwa Nyasa lingekuwa limeporwa na Malawi na kagera ingekuwa ni sehemu ya Uganda, na Tanzania ingetawaliwa na Watusi (Bahima Empire) lakini wamebaki kuangalia tu hakuna wa kugusa wajaribu wakione cha moto.
Sipendi kuongea mengi maana mil 7 niliyonayo ni ya mtaji na si ya faini.
 
Hiyo list naipinga, haiwezekani nchi kama congo, kenya, south sudan na somalia watuzidi, sema amani tuliyonayo kumelifanya lisitambulike, kwa ukweli JW ni ya kwanza Africa sema haitafuti kiki mitandaoni
What about South Africa , Egypt, Nigeria, Ethiopia. Acha unaa
 
Bado haiingii akilini. Nalipenda sana Jeshi langu lakini naingiwa na mashaka ya kuwa bora zaidi ya Jeshi la Afrika Kusini, Nigeria, Ethiopia, Egypt na Angola! Labda kwa nidhamu, jambo ninaloafiki bila hofu.
Ila kuna mwanajeshi aliwahi nisimulia kuwa, wanajeshi wa Nageria hawana nidhamu, wamekuwa wakiuwawa huko Sudan, wanakolinda amani kuliko majeshi ya mataifa yaliyoko kule. Nami nikubariani na huyu jamaa, hasa ukiangalia swala la kutekwa wale wasichana, pamoja na Nigeeria kuwa na uchumi mzuri, kuwa na jeshi zuri, wameshindwa kuwadhibiti hawa jamaa wala kugundua walipo wale wasichana. Wamezidiwa na hata jeshi la DRC, ambao wameweza kuwaokoa madereva kwa kuwatilia shaka watu mjini.
 
Tatizo title yako ndio inachanganya. Umesema kushika ina maana baadae, lakini ndani inashika nafasi ya 27. Huoni kama title itawachanganya wasomaji. Nilijua labda evaluation inaendelea na hivyo kuna hatihati ya kushika nafasi hiyo. Asante
 
Lt.General ni mtu mkubwa jeshini...Mimi nakubaliana na maneno yake kuhusu jeshi letu.Kutoka KAR kuja JWTZ ni safari ndefu na tumepata mafanikio ...BRAVO JWTZ
 
Siyo kweli, msidanganyane. Nadhani hukumsikia vizuri, JWTZ linashika nafasi ya 17 kwa ubora katika majeshi ya Afrika lakini siyo katika Dunia.

Katika Dunia kwa kadiri ya taarifa ya CIA 2016 year book, JWTZ linashika nafasi ya 96.


tanzania.gif

Tanzania
Ranked as 96 of 126
GFP Power Index rating of 1.9561 (0.0000 being perfect)

MANPOWER - Going beyond military equipment totals and perceived fighting strength is the actual manpower that drives a given military. Wars of attrition favor those with more.

Total Population: 51,045,882
Available Manpower: 10,000,000
Fit for Service: 11,750,000
Reaching Military Age Annually: 1,030,000
Active Frontline Personnel: 30,000
Active Reserve Personnel: 80,000

LAND SYSTEMS - Tank value includes Main Battle Tanks, light tanks and tank destroyers, either wheeled or tracked. AFV value includes Armored Personnel Carriers (APCs) and Infantry Fighting Vehicles (IFVs).

Tanks: 30
Armored Fighting Vehicles (AFVs): 150
Self-Propelled Guns (SPGs): 0
Towed-Artillery: 12
Multiple-Launch Rocket Systems (MLRSs): 0

AIR POWER - Includes both fixed-wing and rotary-wing aircraft from all branches of service.

Total Aircraft: 35
Fighters/Interceptors: 14
Fixed-Wing Attack Aircraft: 14
Transport Aircraft: 11
Trainer Aircraft: 9
Helicopters: 2
Attack Helicopters: 0

NAVAL POWER - Aircraft Carrier value includes dedicated "helicopter carrier" vessels. Total naval strength includes all known auxiliaries as well.

Total Naval Strength: 19
Aircraft Carriers: 0
Frigates: 0
Destroyers: 0
Corvettes: 0
Submarines: 0
Coastal Defense Craft: 12
Mine Warfare: 0

RESOURCES (PETROLEUM) - Despite the advances made in battlefield technology, oil remains the lifeblood of any fighting force and supporting economy.

Oil Production: 10 bbl/day
Oil Consumption: 52,520 bbl/day
Proven Oil Reserves: 0 bbl

LOGISTICAL - War is as much a battle of logistics - moving man and machine from / to points all over - as it is direct combat. Labor Force adds to available wartime industry strength.

Labor Force: 25,280,000
Merchant Marine Strength: 94
Major Ports and Terminals: 2
Roadway Coverage: 86,472
Railway Coverage: 3,689
Serviceable Airports: 166
 
Mi binafsi na kerwa na kitendo cha wao kukaa wanajitangaza tangaza mambo mengine ni siri yao kunahaja gani ?
 
OTE="Rich Pol, post: 17760302, member: 176712"]Watu wanachuki na nchi yao lakini wakiona nyoka wanakimbia, kwanini wasitulie wagongwe wajifie kwa chuki zao??[/QUOTE]
Hii tabia inazidi kuota mizizi hapa jukwaani, yaani kama mtu ana Mtazamo tofauti basi anaambiwa siyo Mzalendo mara ana chuki na nchi, haya ni mawazo ya kilofa sanaa.
 
Back
Top Bottom