JWTZ kusherekea miaka 52 kwa kutoa huduma bure kwa wananchi

Kupanda miti sawa, usafi mara moja kwa mwaka sio sawa.
Tuchanganye kidogo akili zetu, ni jukumu la jeshi kufanya usafi mitaani na kwenye taasisi zingine. Wanajitolea kwa ajili ya sikuu yao, wameamua kulaza majukumu ya yao ya msingi bado tunaona siyo sawa.
 
Kwani tuna vita mkuu mpaka u- suggest wanaacha kazi zao??

Tunapaswa kugharimia usafi wa miji na majiji yetu.

Masoja wakabrash viatu vyao, kikinuka iwe rahisi kufika front.

Hii mnayoishabikia ni kuwaigiza wapiganaji wetu kwenye siasa kiaina. Nasema sipendi sipendi sipendi.

Kama kujitolea wajitolee wabunge mjengoni angalau kwa wiki moja, au majaji nao wafanye kazi jumapili wiki ya sheria ili kupunguza mlundikano wa kesi...

Nasema tena tugharimie usafi kwa fedha za kodi tunayolipa.
 
Mimi naona wamesahau kitu hapa, Ilitakiwa hiyo 1sept. Watuoneshe vifaa na mazoezi yao huku mtaani. Hapo ningeinjoy kweli.
 
Tareh 1,sep itakuwa siku ya pekee ya ya historia , maana sasa kila kitu ni 1, sep, lol
 
"Pia amesema siku hiyo ya maadhimisho itaadhimishwa kwa kuienzi michezo na KUDUMISHA URAFIKI baina ya JWTZ, WANANCHI, na Taasisi na kwamba mashindano mbalimbali yatafanyika."

At least hawa jamaa wana HEKIMA katika kuongea kwao.
Umesema hawa jamaa wanahekima ukilinganisha na akina Nani ambao hawana busara Mkuu?
 
Kwani tuna vita mkuu mpaka u- suggest wanaacha kazi zao??

Tunapaswa kugharimia usafi wa miji na majiji yetu.

Masoja wakabrash viatu vyao, kikinuka iwe rahisi kufika front.

Hii mnayoishabikia ni kuwaigiza wapiganaji wetu kwenye siasa kiaina. Nasema sipendi sipendi sipendi.

Kama kujitolea wajitolee wabunge mjengoni angalau kwa wiki moja, au majaji nao wafanye kazi jumapili wiki ya sheria ili kupunguza mlundikano wa kesi...

Nasema tena tugharimie usafi kwa fedha za kodi tunayolipa.
Wewe binafsi lini umejitolea, kwa hiyo wanajeshi wanamajukumu wakati wa vita tu, mimi nadhani mpaka mwanajeshi mpaka aitwe hivyo anaandaliwa mafunzo maalumu, ambayo yanayomfanya afanye nini awapo vitani, na lazima kuwe na mwendelezo wa mafunzo hayo, ili kuenda hali iliopo, vitendea kazi vipya, nikujuze tu jeshini kuna walimu, madaktari, IT, mafundi wa magari yao na fani zingine ambazo zinahitaji utendaji wa kila siku.
 
Ni mimi mwanajeshi wa ulinzi wa wananchi naduma uhuru na umoja wa taifa,kwa uaminifu wangu utii na uhodari nakili ndizo nguzo za utumishi wango.Pongeziii amiri heshi mkuu na waasisi Tanzaniaaaaaa kwa uongozi bora wa majeshiiii mimi nakutumaiin.

Wimbo wa jeshi huo.
 
Wewe binafsi lini umejitolea, kwa hiyo wanajeshi wanamajukumu wakati wa vita tu, mimi nadhani mpaka mwanajeshi mpaka aitwe hivyo anaandaliwa mafunzo maalumu, ambayo yanayomfanya afanye nini awapo vitani, na lazima kuwe na mwendelezo wa mafunzo hayo, ili kuenda hali iliopo, vitendea kazi vipya, nikujuze tu jeshini kuna walimu, madaktari, IT, mafundi wa magari yao na fani zingine ambazo zinahitaji utendaji wa kila siku.
Lazima wewe upo kwenye Umoja wa kumpongeza magu.
Ukiweza iweke kwa kifupi. Unaambiwa wanajeshi wamejifunza kuua, wakizea wauliwe!! Wewe unataka kuwaletea ishu za kuokota kondom zilizotumika mitaani??

Achana na siasa kwenye mitulinga.

Kama unaona kujitolea kuna umuhimu wa jinsi hiyo ianze mibunge ya ccm kujitolea kufanya kazi bure angalau kwa siku moja.

Tugharimie usafi wa miji na majiji yetu kwa kodi tunayolipa full stop
 
Sidhani kama hata wewe mwenyewe umeelewa ulichoandika, ukirudi nyuma ya michango yetu mimi na wewe. Alafu nikujulishe uwenda wazimu wa kuweka siasa jambo lisilo la siasa, sina baki nao ni ugonjwa wako mwenyewe.
 
Mimi naona wamesahau kitu hapa, Ilitakiwa hiyo 1sept. Watuoneshe vifaa na mazoezi yao huku mtaani. Hapo ningeinjoy kweli.
ni moja wapo ya mkakati kwa hyo kuwa na subira mkuu uta enjoy sana
 
Kuanzia kesho, dah!! A very good move, hapa ni kucheza na psychology ya raia kuwaambia tutakuwa mtaani tarehe moja, kaeni pembeni.
JPM ndo C in C, haina ubishi hapa kawapa watu PIM SLAP, yaani back slap!
 
Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ), linatarajia kusherehekea miaka 52 tangu kuanzishwa kwake, kwa kufanya usafi katika maeneo mbalimbali nchini Septemba 1 mwaka huu.

Msemaji wa jeshi hilo, Kanali Ngemela Lubinga amesema kuwa jeshi hilo litasherehekea bila kufanya maandamano ya aina yoyote na kwamba linafahamu Serikali imeshapiga marufuku maandamano siku hiyo.

“Ratiba yetu ni kusherehekea, tunajua Serikali imeshakataza maandamano,”alisema Kanali Ngemela.

“Sisi wanajeshi tukipanga shughuli zetu zinakwenda kama zilivyopangwa,” aliongeza.

JWTZ liliundwa Septemba mwaka 1964 baada ya kuvunjwa rasmi kwa jeshi lililorithiwa kutoka kwa wakololini la Tanganyika Rifles.

Tamko hilo la JWTZ limekuja wakati ambapo kumekuwa na mvutano wa kufanyika kwa maandamano ya Oparesheni UKUTA ya Chadema ambayo Serikali imeyapiga marufuku.

Kwa niaba ya wana JamiiForums, tunalipongeza jeshi la wananchi na kuwatakia sherehe njema hapo september 1.
 
Back
Top Bottom