JWTZ kuanzisha Benki:- Je ni benki ya JWTZ au Vingunge wa JWTZ?

Mna jidangaya JWTZ haijawai kuwa na nidhamu ya fedha hata siku moja. Ulizeni serikali inalipa riba ya shilingi ngapi ile mikopo ya Tunakopesha na Mikopo wanayoingia wanajeshi.

Wanshidnwa kumanage vitu tehcnical kama magari ndio wataweza kumage fedha . kama ni kweli ni Maumivu kwa walipa kodi.

Wafanye Saccos inawatosha mambo ya benki ni kuingiza mkenge serikali kama dili za meremeta

......................all well said,.................JE SACCOS mambo yamepamba moto si mchezo,hivi karibuni registration itapatikana,nawapongeza interim committee.
 
Back
Top Bottom