Juzi, jana na leo yako

Bigbootylover

JF-Expert Member
Oct 4, 2015
2,847
1,820
Karibu mkuu, itueleze nyimbo au movie ambazo zilikugusa au zinakugusa zikiambatana na matukio ambayo huwezi yasahau. Yaani unazigawanya kama ifuatavyo: Juzi=ya zamani kabisa kwa upande wako, Jana=Zamani kiasi, Leo=Kipindi cha sasa au leo

NB:Idea nimecopy kutoka clouds fm, japo hawana kipengele cha movie.

Mfano mimi, Juzi yangu wimbo wa Ghato, azala kisehawa, unanikumbusha zamani vijana wa huku kwetu waliamini mtu akitaka kutoka kimaisha lazima aende Zanzibar, basi anko wangu nae alienda huko akawa akirudi anatuletea zawadi nyingi, pia alikuwa anakuja na hizo tape za kikongo ikiwemo ya Ghato, mimi nilitokea kuipenda sana hiyo nyimbo.

Jana yangu ni nyimbo ya Hii Leo ya GK,FA& AY, nakumbuka nilikuwa primary, dah nilitokea kuipenda sana hii nyimbo, walivyoimba, beat na video yake pia. Pia inanikumbusha rafiki zangu na maisha ya primary kwa ujumla.

Leo yangu ni wimbo wa Je utanipenda wa Diamond, jamaa kapita mulemule japo sikuwahi kuwa nazo, ila niko zero na najione mengi katika maisha kama mtu wa chini. Pia naamini ni nyimbo inayowapa ufahamu ndugu zetu wasanii au waliojuu wasijisahau na kufanya makosa maana tajiri ni masikini mtarajiwa na masikini ni tajiri mtarajiwa.

NB:IDEA NIMETOA CLOUDS KATIKA KIPINDI CHA LEO TENA, NAIPENDA SANA HII SESSION YA KIPINDI.

KARIBUNIIIIIII
 
Juzi

-->Mtulize<!--
--><!--
Jana
-->CNN<!--
Leo
-->Heya Aye<!--
 
Back
Top Bottom