Juu ya Uwezo wa Wanawake Kuongoza Linahitaji Mjadala Mpana -Tanzania

jnuswe

JF-Expert Member
Nov 2, 2010
1,270
549
Nalileta hili kuhusiana na kinachoendelea katika Mbunge letu kwa sasa, nilijua ni Makinda tu hawezi kumudu kuongoza mijadala, J. Mhagama naye naona hakuna lolote ameshindwa kabisa kuhimili, nikaenda mbali zaidi kumkumbuka Sofia Simba ambaye aliwahi kutamka kauli mbozu kabisa akihusisha nafasi ya kupata uongozi na kugawa uloda.

Ili linakuwaje ? najua pengine Tanzania inatawaliwa na mfumo dume wanaume wengi hawako tayari kutii amri wanapoamrishwa na mwanamke, Bunge limekuwa ka Kariakoo, nafuu hata Kariakoo mnaweza kusikilizana
 
Makinda ndo najua ni bure kabisa lile joho zito kwake, angekuwa mungwana angeomba kulivua
 
Back
Top Bottom