Nsemwas Junior
Senior Member
- Oct 23, 2009
- 173
- 54
Nadhani ni wakati wa kuundwa kwa mswada ambao baadaye upitishwe na kuwa sheria ya KUNYONGWA kwa wale,viongozi na ambao si viongozi watakaopatikana na hatia ya UFISADI wa namna hii.To hell Human rights,hawa watu wanaoumiza watanzania wenye kulipa kodi kwa taabu kwa wao kujiwekea hazina za milele hapa duniani mpaka kwa watoto wa vitukuu vyao kwa njia hii,they DONT DESERVE TO LIVE AT ALL.
Naomba mchango wenu wana JF
Naomba mchango wenu wana JF