Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,319
- 33,125
Usafiri wa Ki Tanzania unatisha kwenye Meli watu wanakufa kwenye Mabasi watu wanakufa sijuwi tutembee kwa miguu?... Young_Masterhii mbona kawaida sana mkuu MziziMkavu .Tena kwa wale wanaosafiri kwenda Loliondo na mbulu wamezoea hii hali.
Usafiri wa Ki Tanzania unatisha kwenye Meli watu wanakufa kwenye Mabasi watu wanakufa sijuwi tutembee kwa miguu?... Young_Master
Usafiri wa Ki Tanzania unatisha kwenye Meli watu wanakufa kwenye Mabasi watu wanakufa sijuwi tutembee kwa miguu?... Young_Master
...umenikumbusha mbali sana...afu kuna ile kitu inaitwa "vitu laini"..sijui inakwendaga wapi...ni noma nayo..inakula mzigo wa kufa mtu!!jamani basi ngoja nikupigie picha basi moja la king cross hili linatoka iringa kwenda mtera utachoka manakke hadi mbuzi wanapakiwa ndani ya basi. hiyo mizigo ya pakacha za karanga na ufuta usipime manake uzito wake tu unatosha kabisa kuzidi mizani basi mkifika pa kupima mizani mnashuka kabisa ili msizidi kilo na wengine wanasogea mbele wanachuchumaa. chezeya mbongo kwenye kusaka ngawira weye.............
Huko hata ukiamia mguu kidole cha mguu solution ni kukatakwenye piki piki nako ni balaa...huku bongo siku hizi kuna ward special kwa ajili ya ajali za piki piki.