Justin Nyari ashikiliwa na polisi, ahojiwa

kunyumba kabisa Preta, Yuegen alikuwa bfrd wa frnd wangu, nilishawaona mara nyingi na huyo dada yake, afadhali ameokoa jahazi mana alikuwa anaelekea pabaya, bado handsome? nawafahamu sana hawa majamaa....na Banjoo sasa hivi anajishughulisha na nini na kale kamwili kapata pata hata nyama jamani.

aah wapi...keshajichokea.....siku hizi kuna ma-underground kibao wakali balaa.....hata kina Elisante Mwenda hawavumi tena sijui kama wamo....Banjoo sijabahatika kumuona toka atoke selo...will update
 
aah wapi...keshajichokea.....siku hizi kuna ma-underground kibao wakali balaa.....hata kina Elisante Mwenda hawavumi tena sijui kama wamo....Banjoo sijabahatika kumuona toka atoke selo...will update
mmmh preta hawa yaonekana uko nao round -round kwenye bata wakishasanua mapene.:A S tongue:
 
kweli wewe wa kumunyumba....Eugene siku hizi yupo Dar anakula pesa ya serikali kwa kuwa karibu na dadae (dereva wake).... si unajua dada yake ni waziri (namuhifadhi) aliona atakula shaba (kwa kula wake za watu) akaona akipe...

...Where we dare to write openly, remember?:heh:
 
Huyu jamaa hapa Arusha kidha mtu anamjua ni jambasi mkubwa. Kinachomlinda ni hiso noti sake...

Kweli usilolijuwa ni usiku wa giza!! Niligongana na Mr.Nyari kwa mara ya kwanza kwa bwana Bloomberg (N.Y) mwishoni mwa 90's . Akanifunga kamba kwamba yeye anexport Tanzanite Carlifornia. Sio siri, I was really impressed, haswa ukuangalia wafanyabiashara wengi wadogo wa A-Town wanavyoibiwa na Mabepari. Nilivyokuja kusikia habari zake nilibaki mdomo wazi.

nyari1.JPG

wananchi waandamana mererani kupinga tuhuma alizopewa mfanyabiashara wa madini,Justin Nyari

MICHUZI
 
aah wapi...keshajichokea.....siku hizi kuna ma-underground kibao wakali balaa.....hata kina Elisante Mwenda hawavumi tena sijui kama wamo....Banjoo sijabahatika kumuona toka atoke selo...will update

aaaah Preta umenikumbusha kina Elisante na Banjoo mayo weee longi kitambo aisee!!! na yule Askofu yuko wapi??

walikuwa wakiingia mjini, arusha yote mali yao mweh pesa kweli silaha!!!
 
Back
Top Bottom