Katavi
Platinum Member
- Aug 31, 2009
- 41,983
- 12,702
Wavulana nao walikuwa wanaitwaje??Enzi fulani - early 80s I think though I could be wrong - kulikuwa na maneno mawili maarufu yafuatayo (naweka na maana yake) yakitumika kuelezea wasifu wa mtu:
1. Manzi = Msichana decent
2. Fox = Msichana malaya
I can't help noticing the second word being used here at JF and...ah! well, just thinking aloud!