Just Thinking Aloud.....

Mtoboasiri

JF-Expert Member
Aug 6, 2009
5,101
1,946
Enzi fulani - early 80s I think though I could be wrong - kulikuwa na maneno mawili maarufu yafuatayo (naweka na maana yake) yakitumika kuelezea wasifu wa mtu:

1. Manzi = Msichana decent
2. Fox = Msichana malaya

I can't help noticing the second word being used here at JF and...ah! well, just thinking aloud!
 
Enzi fulani - early 80s I think though I could be wrong - kulikuwa na maneno mawili maarufu yafuatayo (naweka na maana yake) yakitumika kuelezea wasifu wa mtu:1. Manzi = Msichana decent2. Fox = Msichana malayaI can't help noticing the second word being used here at JF and...ah! well, just thinking aloud!
Ndo unatoboa siri hivyo ehhhh!?Nwy wanaotumia labda hawaitafsiri hivyo au wanataka ijulikane hivyo kuhusu wanaemwongelea....
 
Manzi=mdemu=simanzi=.....................???????????????????????????????? Just worrying aloud................................................
 
Wanawake ni center of attention sijui kwanini tu wasiwe wanakubali badala ya kuzunguka..Kwaheri...
We sikubali kirahisi hivyo mami..Raha ya kitu ni ukikifanyia kaziUkipewa tu waweza usitunze sababuHujui uchungu wa kutafutA ...
 
Huku kumekucha na ni salama kabisa, huko kwenu je?
 
We sikubali kirahisi hivyo mami..Raha ya kitu ni ukikifanyia kaziUkipewa tu waweza usitunze sababuHujui uchungu wa kutafutA ...


AD dear sikua na manner hiyo, maana yangu ni kua imekua too much kurusha uzi kuhushu wanawake hata hazina maana, kwa kiasi kikubwa saaana najitegemea kuliko kutegemea, kwanza hata hao wa kukupa kila kitu wakwapi??
 
Back
Top Bottom