Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,363
- 58,386
hizi trafiki light hapa vipi? Wahusika wamelala? Uhasibu ya hapa karibu na uwanja wa taifa
Nashangaa sehemu hii hatari kabisa trafic police hawataki kuongoza magari (taa mara nyingi haziwaki hapa) lakini sehemu sizizo hatari na zenye taa wakati wote ndio wako kimbelembele kuongoza magari....nadhani wanafaidika na ajali za hapo maana kwa siku si chini ya tatu................
toka mwaka uanze hiyo ni ajali ya 60+ trafiki lights haziwekwi hao sababu hazijulikani...ukivuka mnakuwa kama mnaviziana...sijui wanataka tuandamane kwa vitu vidogo kama hivi?TANROADS wamelala tu hawana habari kabisa...hizi trafiki light hapa vipi? Wahusika wamelala? Uhasibu ya hapa karibu na uwanja wa taifa
maeneo ya huko ni makazi ya walalahoi,hivyo hakuna kipaumbele....njoo sealander au pale stanbic ubalozi uone traffic makwapa yanavyowatoka jasho kuhakikisha wanene wanaflow na ndinga zao kwenda makazini au kurudi maskani
Nashangaa sehemu hii hatari kabisa trafic police hawataki kuongoza magari (taa mara nyingi haziwaki hapa) lakini sehemu sizizo hatari na zenye taa wakati wote ndio wako kimbelembele kuongoza magari....nadhani wanafaidika na ajali za hapo maana kwa siku si chini ya tatu................
na kwa nini kila mara umtegemee askari? ipo siku mtagongana mbele ya askari. badiliken, haraka ya nini mjini?
maeneo ya huko ni makazi ya walalahoi,hivyo hakuna kipaumbele....njoo sealander au pale stanbic ubalozi uone traffic makwapa yanavyowatoka jasho kuhakikisha wanene wanaflow na ndinga zao kwenda makazini au kurudi maskani
Inawezekana ni mradi wa hao wavaa sanda nyeupe. Kwa Tanzania hamna kitu cha kushangaza tena. Kila kitu kinawezekana.Nashangaa sehemu hii hatari kabisa trafic police hawataki kuongoza magari (taa mara nyingi haziwaki hapa) lakini sehemu sizizo hatari na zenye taa wakati wote ndio wako kimbelembele kuongoza magari....nadhani wanafaidika na ajali za hapo maana kwa siku si chini ya tatu................
Hata pale uhasibu wapo wanakaa kwenye kibanda walichojengewa mtandao wa simu (sikumbuki kama ni voda au tigo). Ni kama wanasubiriaga ajali kwani hawatoki bandani hadi ajali itokee.
hizi trafiki light hapa vipi? Wahusika wamelala? Uhasibu ya hapa karibu na uwanja wa taifa