Just landed from big brother house,anyone interested to share the money?

Keagan

Member
Aug 6, 2012
40
11
Wadau habari zenu,
Kwa muda mrefu nimekuwa nikiperuzi kurasa mwanana za jamiiforums.
Naomba nikiri pia nimekuwa nikitumia nondo(facts) zinazokuwa poured humu ndani sehemu tofauti tofauti na kujipatia credibility ya hali ya juu.

Sasa,ni wasaa mzuri nami kujiunga ili wengine pia wanufaike na michango yangu,namimi nijifunze zaidi..

I guess i‘m welcomed whole-heartedly,am i not?
 
Karibu sana jamvini, tunategemea kupata mengi kutoka kwako. Zingatia kanuni na sheria za jamvi ili usigombane na mods.
 
karibu sana.

mmhuuuu...leo mbona umejaa sana huku Ritz kwa wema lakini?umeanza lini kuwa na roho ya ukaribisho namna hii?
au ndio unavizia mambo yako yaleee...tehee
 
Last edited by a moderator:
mmhuuuu...leo mbona umejaa sana huku Ritz kwa wema lakini?umeanza lini kuwa na roho ya ukaribisho namna hii?
au ndio unavizia mambo yako yaleee...tehee

Mkuu JF ni furaha mie mbona mwema sana...nakaribisha wageni.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom