Just Imagine. "angaliikuwa Zitto, Shibuda, Lissu,Mbowe" NEC pangalitosha?

Malaria Sugu

JF-Expert Member
Jul 7, 2009
2,653
264
Just imagine. baada ya Rostam kutangaza kujivua gamba na kuamua kujitangaza wazi kwamba hata ubunge amejiuzulu. lkn tume ya uchaguzi hasa mzee kiravu ambae anasifika kwa kutoa taarifa za haraka amekumwa kimya.na inasemekana hata maoni tu kutoa hataki . tunaamini kiravu anangoja barua rasmi kutoka kwa CCM au Rostam ndio atanagazaje Jimbo kuwa wazi
Lkn swala hapa dogo tu.
kwa mfano Kauli hiyo ya kujiuzulu kwa ubunge kungalitokea ndani ya vyama vya Upinzani hasa mbowe, lissu, zitto, Akilimali, kafulilla. jeee mzee kiravu asingekuwa Jino nje?
 
Jamaa( NEC na CCM kwa ujumla), wana kitete; wanajuta, wanaona kwenye kitengo chao cha uchakachuaji wa haki za watanzania wamepoteza kiongozi na dalali wao mashuhuli; nafikiri hata isingekuwa preshapresha ya people's power, CCM kujivua gamba na kauli kuwa RA apime mwenyewe na atimaye ajiuzulu isingetolewa: sasa wananchi tuko makini tutaona jeuri wataitoa wapi, kitendo cha RA kujiengua madudu ndani ya CCM na NEC yatafichuka tu..
 
mada zisizo na kichwa wala miguu zinajaza forum tu..!
Sio kila mada unapaswa u'comment, km unaona haijakushika ni vyema uipotezee. Mtoa mada kajenga hoja hapo juu, kajaribu kujenga link ya kiutendaji kati ya Ccm-ofisi ya msajili wa vyama vya siasa- na upinzani, msome vizuri then changia km huwezi potelea mbali.
 
Back
Top Bottom