EMT
Platinum Member
- Jan 13, 2010
- 14,483
- 15,308
hamna kujitetea hapo, utasemaje uko tabora halaf unaonekana mwenge bana! think! mkuu think!
Angalie vizuri unaweza kuta huyo rafiki yake aliyempa taarifa ameingia dili na huyo mwanamke. Who knows, labda wamefanya hivyo, ili jamaa amteme mwanamke halafu huyo rafiki yake avinjari naye. Dunia duara. Kwani huyo rafiki yake aliyempigia simu akimuuliza demu wake yupo wapi, alikuwa anajua kuwa ameenda kusoma Tabora?