just big Hi!

Hi. Karibu sana.
Twakupokea kwa kwa wema na ihsani ila kumbuka tu:

Mgeni siku ya kwanza, kwa wali na panza!

Sijui kama uliwahi soma kitabu cha "Bulicheka"?
 
ahsante sana mr.f .f kuwa wa kwanza kunikaribisha ila nitajitahidi kula mazoezi ya kung fuu ili ifikapo siku ya 10 kitaeleweka
 
Back
Top Bottom