Just 4FUN

MAMMAMIA

JF-Expert Member
Feb 26, 2008
3,811
1,603
Ikiwa unataka kucheka kidogo chungulia hapa:Bull fighting with sound effects.
 
Last edited by a moderator:
Hawa Waspanish hata mimi siwafahamu. Nawaje TZ wacheze na Nyati!

haaaaaa......yule bwana muone vile vile......yani kuona jina tu nimedondoka......tena waje wacheze na mbogo.....
ila.....huyo ng'ombe hauwi....mbona kama anawagonga sana......?

Preta si unaona jamaa akidondoka chini wanamwahi kumzuga ili aachane nae, hii ni hii ni ishara kuwa akiachwa alone lazima 'adedishwe'
 
Last edited by a moderator:
haaaaaa......yule bwana muone vile vile......yani kuona jina tu nimedondoka......tena waje wacheze na mbogo.....
ila.....huyo ng'ombe hauwi....mbona kama anawagonga sana......?

....huu mchezo unafanana na ule wanaocheza wapemba kule znz...ingawa spain hasa madrid na hata mexico wanacheza sana...
 
haaaaaa......yule bwana muone vile vile......yani kuona jina tu nimedondoka......tena waje wacheze na mbogo.....ila.....huyo ng'ombe hauwi....mbona kama anawagonga sana......?
Ng'mbe huwa wanaua Preta, na kuwaacha watu na vilema vya maisha, lakini wanadai ni utamaduni wao. Pia tayari watetezi wa haki za wanyama wanalivalia njuga kiasi kwamba Barcelona imeshapitishwa bungeni kwao kuwa huo mchezo katika eneo hilo ni marufuku.

....huu mchezo unafanana na ule wanaocheza wapemba kule znz...ingawa spain hasa madrid na hata mexico wanacheza sana...
Tafauti ya mchezo wanaocheza Wapemba na huu, ni kuwa ule wa Pemba uliletwa na Wareno, ambapo ng'ombe hauliwi; lakini huu wa Spain baada ya mchezo ngo'mbe huchinjwa na mchezaji mahiri huzawadiwa masikio kama "kombe" lake.
 
Ng'mbe huwa wanaua Preta, na kuwaacha watu na vilema vya maisha, lakini wanadai ni utamaduni wao. Pia tayari watetezi wa haki za wanyama wanalivalia njuga kiasi kwamba Barcelona imeshapitishwa bungeni kwao kuwa huo mchezo katika eneo hilo ni marufuku.

Tafauti ya mchezo wanaocheza Wapemba na huu, ni kuwa ule wa Pemba uliletwa na Wareno, ambapo ng'ombe hauliwi; lakini huu wa Spain baada ya mchezo ngo'mbe huchinjwa na mchezaji mahiri huzawadiwa masikio kama "kombe" lake.

...Ahsante kwa ufafanuzi...
 
Back
Top Bottom