Nilichokinotisi kutoka kwa Jussa, analitumia vibaya neno muungano/union. Anaposema muungano nafikiri lazima angekuwa anataja neno mpaka mwisho.
1. Muungano usio wa jamhuri/states
2. Muungano wa jamhuri/states
Akisha chagua neno moja kati ya hapo juu nadhani ataweza vizuri kudefend hoja zake.
Mfano muungano wa jumuia ya ulaya ni muungano usio wa jamhuri ni muungano mwepesi mwepesi tu kwa mambo mepesimepesi, na ndiyo mfano nchi fulani inaweza kuruhusiwa kuingia lakini wananchi wake hawaruhusiwi kufanya kazi bila working permit. Ni muungano ambao ni kama ambavyo watanzania wanaiingia afrika kusini bila viza.