Jussa Ismail na Doyo Hassan Doyo LIVE On Star TV

Je ikitokea doyo ukasamehewa, unafikiri bado cuf inakufaa,? Na nini mstakabari wako katika siasa za tanzania?.
 
Barhan Muhuza hayupo comfortable..! Anamuogopa huyo mwarabu au?
 
Jusa aache visingizio kuwa CUF inasemwa sana na kwamba vyama vingine havijadiliwi. Inavyoonyesha yeye sio mfuatiliaji wa mambo ya vyama vingine, mbona suala la Madiwani wa Chadema lilijadiliwa hadi na Waziri Mkuu Bungeni? Mbona suala la Kafulila limejadiliwa sana?
 
Aisee yahya, mshauri baruani akae katikati ya hao jamaa, nahofia wanaweza kuchapana makonde
 
Swali kwa Doyo, Je kama CUF ikiwasamehe wako radhi kurudi CUF na Je Jussa atakuwa radhi kufanyanao kazi?..
 
duh Lipumba milioni 70,Maalimu zaidi ya 500milioni! Hili tatizo!
 
inasemekana jusa ni mpemba asili lakini Hamad rashid sio mpemba asili hivyo wanataka wamtoe chamani ili katibu mkuu ajaye wamuweke jusa mpemba asili
 
Doyo kamlipua maalim seif. Eti katangaza rais ajaye lazma atoke znbr,kamshirikisha nani?lipumba kwenye uchaguzi alitumia milion 70 lakin maalim seif alitumia zaid ya mil 500 na had leo taarifa ni siri
 
maalim na genge lake wana hatia nyingi sana juu ya utendaji wa chama. HR na wenzake wanastahili kusikilizwa na wana cuf. Wasikubali kulishwa kasa wakadhurika kama walivyodhurika wapemba hapo jana
 
Back
Top Bottom