Jussa ajiuzulu Unaibu Katibu Mkuu (ZNZ) ili 'kusaidia Zanzibar kupata Uhuru Wake'

sijui kwa nn mnapoteza muda kwa Jusa, hajui alitakalo na kama anajua basi hajui jinsi ya kulipata, mwenyewe kasema anataka ajifarague sasa cc tunachangia nn? CUF WANA WAWAKILISH BARAZANI NA BUNGENI hzo harakati anafanyia wp? Nadhani kama angekua na akili angetumia nafasi yake kushawishi uongozi wa cuf kuanzisha m4f (movmnt 4 fredm) badala ya kubwaga manyanga, huko mtaani anaenda kugawa viroba? Kelele zake redio alnuur na istqama bila Chama zitasaidia nn? Inshot cjui anakoenda kuanzia fight yake na nani alomtuma? CUF + CCM wapo kimya yeye anaitaka znz kama nani? Nani alie jasiri kuiongoza Znz huru bila Tanganyika? Tundu lisu wakati wa hoja ya kuunda tume ya katika aseisema kwanza Tanganyika irudi ili tukae kama nchi 2 tuandike katiba ya JMT si ni kina Mnyaa (Mb) mkanyageni cuf walimtukana? kama walikua na dhamira ya kweli ya kudai nchi c wangeanzia hapo? Wawaunge cdm mkono na kazi ingekua imeisha? Wajiulize Tanganyika ingerudije bila znz znz yenye mamlaka kamili? Na baada ya mchakato wa katiba je tanganyika ingefutika tena? Watu wengine tunatafutiana ban hapa za mwanzo wa mwezi.,aaagrrhh...! masaburi yake
 
Duh kumbe bendera ya TANGANYIKA nzuri kiasi hicho? Nadhani mpaka sasa bado ipo UN. Jana nilisikia BBC ikimhoji mdosi mmoja kuwa ndio aliyebuni TANZANIA na kukubaliwa, sasa najiuliza nchi hii ina tatizo gani? Tumeambiwa mila na dini zetu ni za KISHENZI na tumekubali, tumeambiwa LUGHA zetu mama hazifai tumekubali, mlima KILIMANJARO unatangazwa na Kenya kuwa upo kwao na Tanzania ni mkoa ndani ya Kenya tumekaa kimya, sasa mdada wa Malawi kaona achukuwe sehemu ya ziwa upande wetu tunajifanya kukataa, huu ni uzandiki mbona jina la ziwa Victoria si la KIAFRIKA?
Kwa mbaaaaaaaaaaaali,naiona Tanganyika Yetu,isiyokuwa na Matatizo ya Uamsho nk,Hongera nenda kadai pemba yenu wawape hao wazanzibara!
 
Amejiuzuru nafasi yake ya unaibu katibu mkuu wa CUF - Zanzibar!

Kunani?

Source: Radio DW
 
Wazenj wavunje muungano hata leo wakitaka halafu watajua nani alikuwa anafaidika nao, kila siku kulialia tu.
 
Kasoma upepo!! Lazima upepo wa M4C utawakumba wengi!!

Ila shibisha habari yako!!
 
Mkimaliza kutengana na Tanganyika, mtaanza kuulizana hivi wewe Jusa ni wa wapi? Mtagundua ni Mhindi flani then mtamtimua kama mbwa. Halafu mtamuuliza nawe Karume ni wa wapi? Mtagundua ana asili ya Kigoma Ujiji, mtataka naye akupisheni. Mwisho wa yote mtajikuta wote hamna asili ya Unguja wala Pemba, kumbe wengine asili yao ni Komoro, Tumbatu, Ngazija, Moroni, Mayote, Mafia, na Tanga (Tanganyika). Fanyeni fasta mtupishe, nasi Watanganyika tutawataka wanaojiita wazenji walioko huku wachague moja kati ya kurudi Zenji au kuchukua uraia wa huku.


Kweli kabisa mkuu,baadae watakuja kujua kuwa wanatumiwa kwa manufaa ya wengine! Lakini kwa ruhusa yako naomba hapo kwenye bold kufanyiwe marekebisho maana hivyo visiwa vyote ulivyovitaja (kwenye bold) ndiyo vinatengeneza nchi inayoitwa Comoros(Komoro) ni hivi karibuni tu kisiwa cha mayote ndiyo kimejitenga kutoka komoro.
 
Ata Tanganyika hamna mwenye asili,kuna Afrika kusini makua,yao ngoni na Congo kuna manyema,zanaki,wairaki,waithopia,acha fikra za kikoloni za kugawa nakutawala hatahivyo maisha yataendelea kuwepo.
 
Back
Top Bottom